Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Ndio yaliyonikuta muda si mrefu. Khaaaa.

Yaani sijaiamini Alarm ya simu mpaka nilipocheck saa ya ukutani. Aiseee. Sijui kwa nini usingizi unakuwaga mtamu hivi.
Halafu unaamka mwili bado mzitoooo.
 
Ahsante Mtani! Hongera zako Mtani. Ni vyema sana kuwahi kwa Ofisi.

We huwa usingizi wa jumapili kuamkia jumatatu haukusumbui saa ya kuamka Mtani?

Kama sijanywa huwa ni rahisi, shida ni kama kuna game ya EPL imechezwa saa moja, maana hapo ni rahisi kunywa.

Kama hakuna game ni mara chache sana kunywa.
 
Ukiwa unaipenda kazi yako, mazingira ya ofisi na watu wanaokuzunguka J3 mpaka Ijumaa ni kama uko picnic.

The best office is farming, you are the boss of yourself. May be a customer can give you terms and conditions but you can always find a better deal.
Bado shida ya kuamka iko palepale sky, usingizi haiujaisha ujuwe!!
 
Kama sijanywa huwa ni rahisi, shida ni kama kuna game ya EPL imechezwa saa moja, maana hapo ni rahisi kunywa.

Kama hakuna game ni mara chache sana kunywa.
Duuh! Hivyo jana Mtani hujapiga vyombo. Lol. 😜😜
 
Saa moja hata my 3yo kid hajalala mkuu, yaani usiku huu ni tafran tupu.
Uwiiii! Hawa ndio changamoto saa ingine kuna wale kila saa wanaita. 😀😀😀

Wengine kama ni saa ya kula usiku utakuta kanalishwa huko na mdada mara kamekimbia kanakuja kumezea chumbani. 😀😀 Mdada akiita inabidi ukafukuze. Kuna kulala hapo.
 
Uwiiii! Hawa ndio changamoto saa ingine kuna wale kila saa kanaita. [emoji3][emoji3][emoji3]

Kama ni saa ya kula usiku utakuta kanalishwa huko na mdada mara kamekimbia kanakuja kumezea chumbani. [emoji3][emoji3] Mdada akiita inabidi ukafukuze. Kuna kulala hapo.
Hahaha, kweli wewe ni mama. Kanaweza kukimbia nyumba nzima kanameza kijiko kimoja tu, yaani unalala vipi madogo wanasumbua. Hadi wao watulie ndio wazazi mnaweza kuangusha...
 
Hahaha, kweli wewe ni mama. Kanaweza kukimbia nyumba nzima kanameza kijiko kimoja tu, yaani unalala vipi madogo wanasumbua. Hadi wao watulie ndio wazazi mnaweza kuangusha...
Yaani wakishalala wale najua hii ndio mida ya kulala sasa. Nje ya hapo unaeza chukia kupanda kitandani mapema.
 
...najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu.

..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]
Unanikumbusha shule ya msingi nilikuwa naichukia Jumatatu balaaa. Nawaza ukaguzi mstarini asubuhi asubuhi na kuwahi saaaana.
Namna ya kuamka,unalala unawazua Jumatatu asubuhi.
 
Kuna namna ya kujenga huo utamaduni

Kiufupi sio wewe tu hata wazungu wanachukia Sunday night hata chakula huwa hakipiti
Saa moja hata my 3yo kid hajalala mkuu, yaani usiku huu ni tafran tupu.
 
Ukiwa unaipenda kazi yako, mazingira ya ofisi na watu wanaokuzunguka J3 mpaka Ijumaa ni kama uko picnic.

The best office is farming, you are the boss of yourself. May be a customer can give you terms and conditions but you can always find a better deal.

Dar unafanya farming wapi? andaa vitumbua na chapati nipitie hapo kwa Mtogole
 
Mie tokea saa kumi niko macho naandika vitu vya kufanya leo kazini na kuvipangilia kwa umuhimu. Natamani muda ufike nianze majukumu.

Nilikutana na mtu mmoja kama wiki mbili zimepita, katika mazungumzo, nilibaini nna bahati sana kuwa na hii kazi. Alinieleza yeye pesa anapewa nikaishia kutokwa machozi (hapa naongelea msomi mwenye elimu yake ya chuo kikuu).

Kesho yake saa kumi na mbili asubuhi nilikua naimba mapambio kumshukuru Mungu nikiwa maeneo ya ofisi kusubiri wafungue mlango nianze kuchakarika.

Ntafanya kazi kama punda Jumatatu hadi Ijumaa, kuanzia Ijumaa jioni kuelekea Jumapili ni biashara zingine kabisa.
 
Jana nimelala saa 2150 halafu kuna mtu aliniuliza kwanini nalala mapema hivyo
 
Back
Top Bottom