Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Mtani! Hongera zako Mtani. Ni vyema sana kuwahi kwa Ofisi.
We huwa usingizi wa jumapili kuamkia jumatatu haukusumbui saa ya kuamka Mtani?
Yaani!! Ila kibishi bishi inabidi kushuka tu kitandani sababu kazi ndio zinatuweka mjini.Halafu unaamka mwili bado mzitoooo.
Bado shida ya kuamka iko palepale sky, usingizi haiujaisha ujuwe!!Ukiwa unaipenda kazi yako, mazingira ya ofisi na watu wanaokuzunguka J3 mpaka Ijumaa ni kama uko picnic.
The best office is farming, you are the boss of yourself. May be a customer can give you terms and conditions but you can always find a better deal.
Duuh! Hivyo jana Mtani hujapiga vyombo. Lol. 😜😜Kama sijanywa huwa ni rahisi, shida ni kama kuna game ya EPL imechezwa saa moja, maana hapo ni rahisi kunywa.
Kama hakuna game ni mara chache sana kunywa.
Uwiiii! Hawa ndio changamoto saa ingine kuna wale kila saa wanaita. 😀😀😀Saa moja hata my 3yo kid hajalala mkuu, yaani usiku huu ni tafran tupu.
Hahaha, kweli wewe ni mama. Kanaweza kukimbia nyumba nzima kanameza kijiko kimoja tu, yaani unalala vipi madogo wanasumbua. Hadi wao watulie ndio wazazi mnaweza kuangusha...Uwiiii! Hawa ndio changamoto saa ingine kuna wale kila saa kanaita. [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama ni saa ya kula usiku utakuta kanalishwa huko na mdada mara kamekimbia kanakuja kumezea chumbani. [emoji3][emoji3] Mdada akiita inabidi ukafukuze. Kuna kulala hapo.
Yaani wakishalala wale najua hii ndio mida ya kulala sasa. Nje ya hapo unaeza chukia kupanda kitandani mapema.Hahaha, kweli wewe ni mama. Kanaweza kukimbia nyumba nzima kanameza kijiko kimoja tu, yaani unalala vipi madogo wanasumbua. Hadi wao watulie ndio wazazi mnaweza kuangusha...
Unanikumbusha shule ya msingi nilikuwa naichukia Jumatatu balaaa. Nawaza ukaguzi mstarini asubuhi asubuhi na kuwahi saaaana....najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu.
..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]
Duuh! Hivyo jana Mtani hujapiga vyombo. Lol. 😜😜
Dah peaneni Funguo, Mi napata Kahawa hapa toka 6.00 kamili, mwendo dakika 5 ofcn.Hahaha, pole Mtani.
Nakaribia ofisini halafu sijui kama ntakuta pako wazi.
Dah peaneni Funguo, Mi napata Kahawa hapa toka 6.00 kamili, mwendo dakika 5 ofcn.
Hii inafaa kwenu kina Baba ila kwa sisi mpaka uweke mambo sawa + maagizo kwa mdada yasiyoisha basi kupanda kitandani saa 3.
Saa moja hata my 3yo kid hajalala mkuu, yaani usiku huu ni tafran tupu.
Ukiwa unaipenda kazi yako, mazingira ya ofisi na watu wanaokuzunguka J3 mpaka Ijumaa ni kama uko picnic.
The best office is farming, you are the boss of yourself. May be a customer can give you terms and conditions but you can always find a better deal.
Huyo mtoto wa mama mkuu anasubir chai ya shikamoo mama awaze wap kaziHalafu kesho unapata wapi nguvu za kuanza wiki, [emoji23][emoji23]