Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Naichukia Jumapili kuamkia Jumatatu

Shida sio distance, tatizo ni mentality tu kichwani huko. Jmosi na Jpili zinafanya mwili u-relax sana, nikishafikiria tu kuamka asubuhi nachoka

hahaha. .Mi sometimes huwa nadanganya naumwa sitafika kazini Leo .vipi umeenda hospitali ....hapana nipo nyumbani tu nyumbani naangalia maendeleo kwanza kumbe ndokwanzaaaaaaa nafika kwangu j3 usiku hahahaha

Cc Smart911
 
Naomba tuwe tunalala wote sakayo[emoji23][emoji23][emoji23] ili saa 11 na nusu uniamshe, mbona jumanne sio ishu. Monday dadeq, waliosema blue Monday hawakuwa viazi ..
Usijali kabisaa x darling
Nitakuwa nakuamsha mimi
 
Hahahahahaha
Ujuee Mungu nakuzoom eeehh..

Mechoka kukuhamu mimi jamani...

Mizigo yangu naomba
Hahahaha usinitoe kwenye reli naomba nitumie saa yangu ije na shambalai;

Aki hii mikono itaweza kweli kuhudumia kitalu
 
Hahahaha usinitoe kwenye reli naomba nitumie saa yangu ije na shambalai;

Aki hii mikono itaweza kweli kuhudumia kitalu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaweza sana jamani babake...

Hivi ndo umenirusha kile kiroba cha wali mimiii
 
hahaha. .Mi sometimes huwa nadanganya naumwa sitafika kazini Leo .vipi umeenda hospitali ....hapana nipo nyumbani tu nyumbani naangalia maendeleo kwanza kumbe ndokwanzaaaaaaa nafika kwangu j3 usiku hahahaha

Cc Smart911

Kaone kwanza kalivyo kazuri...
 
Watoto ni noma acha kabisa Yaani unaamka asubuhi kama zombie
Uwiiii! Hawa ndio changamoto saa ingine kuna wale kila saa wanaita. [emoji3][emoji3][emoji3]

Wengine kama ni saa ya kula usiku utakuta kanalishwa huko na mdada mara kamekimbia kanakuja kumezea chumbani. [emoji3][emoji3] Mdada akiita inabidi ukafukuze. Kuna kulala hapo.
 
Back
Top Bottom