Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ulionao [emoji23]
Ujira wako utakuwa nini[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujira wako utakuwa nini[emoji23]
Shida sio distance, tatizo ni mentality tu kichwani huko. Jmosi na Jpili zinafanya mwili u-relax sana, nikishafikiria tu kuamka asubuhi nachoka
Sisi ambao ni jobless ndio kabisa hatuoni tofauti ya jumatatu na juma pili;Vipi mpaka sasa hivi una chuki bado?
Hawa nahisi kila siku; saa 10 na nusu usiku huwa wapo macho tiyari.Tabu ya waishio Jijini inakua double
Kabisaa umeona eeh?Sisi ambao ni jobless ndio kabisa hatuoni tofauti ya jumatatu na juma pili;
Haha yas; itabidi tuji change change tuunganishe nguvu mateKabisaa umeona eeh?
Usijali kabisaa x darlingNaomba tuwe tunalala wote sakayo[emoji23][emoji23][emoji23] ili saa 11 na nusu uniamshe, mbona jumanne sio ishu. Monday dadeq, waliosema blue Monday hawakuwa viazi ..
Ujue nakudai kitaluSisi ambao ni jobless ndio kabisa hatuoni tofauti ya jumatatu na juma pili;
Hahaha nakuhamu ujue.Ujue nakudai kitalu
HahahahahahaHahaha nakuhamu ujue.
Uku bush nimechoka kusoma majira kwa kutumia jua
Fanya Fanya unitumie saa yangu iyo
Hahahaha usinitoe kwenye reli naomba nitumie saa yangu ije na shambalai;Hahahahahaha
Ujuee Mungu nakuzoom eeehh..
Mechoka kukuhamu mimi jamani...
Mizigo yangu naomba
Hakika mateHaha yas; itabidi tuji change change tuunganishe nguvu mate
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha usinitoe kwenye reli naomba nitumie saa yangu ije na shambalai;
Aki hii mikono itaweza kweli kuhudumia kitalu
Mwisho wa wiki utakipata kabisa aki!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaweza sana jamani babake...
Hivi ndo umenirusha kile kiroba cha wali mimiii
hahaha. .Mi sometimes huwa nadanganya naumwa sitafika kazini Leo .vipi umeenda hospitali ....hapana nipo nyumbani tu nyumbani naangalia maendeleo kwanza kumbe ndokwanzaaaaaaa nafika kwangu j3 usiku hahahaha
Cc Smart911
Uwiiii! Hawa ndio changamoto saa ingine kuna wale kila saa wanaita. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wengine kama ni saa ya kula usiku utakuta kanalishwa huko na mdada mara kamekimbia kanakuja kumezea chumbani. [emoji3][emoji3] Mdada akiita inabidi ukafukuze. Kuna kulala hapo.
Asante sana jamani babakeMwisho wa wiki utakipata kabisa aki!!!
ondoa hofu kabisa!
😀😀😀 Yaani acha tu mwaya.Watoto ni noma acha kabisa Yaani unaamka asubuhi kama zombie