Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Pascal Mayalla,
Ni haki yako kusema Paskali. nasikitika kuwa huna ubavu wala uthubutu wa kuisema kweli ila baada ya kuzingatia maslahi yako mapana. Kama una ubavu na uthubutu huo basi kwanza ungeanza na kusema ya wale wasiotaka kusemwa, mafisadi, na vichaa, mawe yasiyo nafahamu kuwa hata matumizi ya rushwa na nguvu yana mwisho wake.

Ni kiongozi gani ambaye ameweza kuhimili misukosuko na kuepusha madhira mengi kwa jamii kama Mbowe? Kama ingekuwa wewe katika mazingira inayopitia CHADEMA ungeweza kumaliza hata robo mwaka bila ya kuomba po na kurudi kundini?

Waache CHADEMA waamue yanayowahusu ili hatma yao isitokane na fikra za kifarisayo mamboleo. unaweza kujitafutia mkate kwa njia nyingine zaidi ya hii na ukabakiwa na heshima yako nga kidogo.
 
Pascal Mayalla ni kweli chadema inahitaji fresh blood ila sio Mwambe,Chadema inahitaji fresh blood kama Tundu Lisu ila walichokifanya sio kibaya ni maandalizi ya Tundu lisu kuongoza jahazi
Hilo jahazi huyo Tundu Lissu ataongoza akiwa marekani au ubelgiji?
Ndio maana Pascal Mayalla amesema hamjui mnataka nini
 
Mkirindi,
Huyu jamaa ni mmoja wa wadau muhimu sana humu JF, akiamua kuacha kuandika JF itadorora. Ila namshauri akae chini atulie aachane na style ya sasa ya uandishi ambayo mara nyingi ina nia ya kuleta confusion na fitina kama ulivyosema (hasa confusion).

Arudi na mbinu mpya ambayo itajikita kwenye kuelemisha zaidi. Kutokana na uzoefu wake na ukongwe katika fani anaweza kutuletea mada nyingi nzuri iwe ni za kisiasa, kiuchumi, kimfumo huku akifanya mlinganisho na tulikotoka au na nchi nyingine, na kutoa ushauri wake wa kipi anaona kinatufaa.

Ikiwezekana aanzishe hata Youtube Channel lakini asilete mtindo wa kuita watu kwa mahojiano hao wataifanya ipoteze mvuto.
 
Kwako wewe Pascal kumchagua Mwambe ndio kuishi? Na he tulivyomchagua Magufuli ili kuishi au Kufa? Mimi nadhani kumchagua Mungu peke yake ndio kuishi, labda ubadikishe kichwa cha habari. Pili ungetupa historia ya huyo unaempigia debe, kuhusu kuijenga CDM, ukishindwa basi sisi tutamchagua Mh Mbowe ili tufe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kwamba CHADEMA CHADEMA wana siasa za ubabe mno

Nafikiri wakivaa yale magwanda wanajiona wote ni Makomando John
sio muda wote wa kukupuuza, unayoyasema kuna muda ni kweli ingawa uwasilishaji wako huwa na ukakasi.
ni kwel.
 
Sasa kweli nmeamin maandiko yetu yanasadifu ulichoandika(Allah anasema yeyote kadir umr wake unavyosonga mbele uwezo wake wa utendaj ktk mambo mbalimbali)kwa hakika uwezo wako wa kufikir unazid kupungua kama c kutoweka kabsa kaka yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
declaration of interest
Naipenda chadema na nimewahi kuwa mwanachama wake kwa muda tu nikiwa mkoani iringa.Ila baada ya kuja ukanda huu wa pwan nikajiweka kando kidogo kwa sababu kadha wa kadha na kadi yangu nikaichana vipande vidogo vidogo nikai flush chooni.

Mtazamo binafsi
kwa hapa ililpo, tukubali tu ukwel kuwa cmd tume stack.sijui sababu has ni nini nadhani mahaba juu ya hiki chama ndio huwa yanatupofusha tulio wengi.but we real nid to do something. we need change though binafsi siamin kama huyu mwamb anaweza akawa mtu sahihi.sina uhakika.Nataman kuona mabadiliko chadema ila nani wa kuvaa viatu vya muheshimiwa freeman ndio bado sina ujasir wa kupendekeza.ile post inahitaji mtu makin sana ..kuoita umakin wenyewe na hili nadhan hata wao linawaumiza kichwa.

system ya ku groom vijana chadema kuwaandaa kuja shika nyadhifa za juu naona kama so far siielewi elewi sasa sijui nayo ndio kwishneii au vp?
Nilikua naipenda Bavicha enzi za Heche na angalau ilikua na matumain ya kutoa viongoz wa baadae lakin sijui mdudu gani alipita pale.Bavicha kwakwel nayo Hoiii bin taaban.
Hali ni mbaya chadema na sio muda wote wa kuinyooshea vidole ccm kam chanzo hali hii.Nadhani mambo mengine tunapaswa kujikagua sis wenyewe ndani.
 
Paskali hata usingewashauri Ni kwamba 2020 Hakuna Mbunge Wala Diwani wa Chadema atakayerudi.

Usipoteze muda Wako kushauri Chama kilichokufa japo Wenyewe hawaamini.
WanaChadema hawana tofauti na Mbuni anayejificha uso wake huku miguu ikiwa Hadharani.
Good riddance and thanks God kutuondolea Jinamizi hili kubwa.
 
mkuu Pascal Mayalla, mimi siyo Chadema but for once can't you be objective japo kidogo tu hapo kwenye graph ya Chadema kushuka kwa kasi kutokana na Chadema's self infliction?

your conclusion is a very sweeping one, and, there appears to be lack of multidimensional thinking in your analysis leading to the conclusion you have drawn.

mfano mdogo, have you stepped back na ku "factor in" political obstruction inayofanywa na serekali ya awamu ya 5 vs upinzani?
have you tried yo assess this obstruction's impact on the efficiency and hence populace of the political parties in the opposition camp?

unajua kinachoifanya CCM ionekane ina nguvu siyo political legitimacy bali nguvu ya dola?

au ulitaka Chadema & co wa reciprocate kwa kuingia msituni? au ulitaka waanzishe vikundi vya ugaidi kupambana na nguvu ya dola ya CCM?

hivi unatambua kuwa mainstream media outlets zote zimekuwa intimidated na serekali ya awamu ya 5 na hivyo kuondoa fairness and objectivity katika political news coverage? how do you expect Chadema & co kuwa popular?

nilidhani wasomi (kina Kabudi, Pascal, M-Mbabe) wapo kwa ajili ya kuisaidia nchi... but how was I wrong!

hii hapa chini ni ya leo mkuu Pascal Mayalla...

 
Upumbavu wa kutukuka kwa maslahi ya wananzengo. CHADEMA ni imani siyo mashindano na chama dola. Kalama baho.
 
Duuh! Mkuu umenena mambo mazurisana. Kwa maoni yangu CHADEMA bado kina mhitaji Mbowe kama mwenyekiti. Kwenye upande wa Candidate wa cheo au Position ya Urais no question lazima awe Tundu Lissu ndiyo uchaguzi utapendeza kama wa 2015.

2015 Watanzania hatuna budi kujipongeza sisi wenyewe. Tuliendesha mapambano ya uchaguzi kidemokrasia nzuri sana, sija wahi ona duniani. Ile Rally ilikuwa vute nikuvute kama ya George W. Bush jurnior na Al Gore.

Sasa matatizo ya CHADEMA hawataki kutumia akili badala yake wanataka ku force vitu kwa mabavu. Mimi sipendelei sana methodes wanazotaka kuzitumia hivi sasa za kuwa militant. Hiyo sidhani kama watakuwa na mafanikio makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipimo cha graff kushuka ilikuwa uchaguzi wa serial za mitaa jambo ambalo ccm kwa kutumia watendaji wa vijiji walilivuruga kisha wakapita woote na wewe unajua vizuri kipimo kingine ni rallies ambazo mhimili umewapiga marufuku sasa Pasco wewe unatumia nini to justify your claim?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…