Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Pia interest zao sio ruzuku tu.watokee watu ambao interest yao sio vyeo bali kutengeneza misingi ya mabadiliko ya kijamii ya kimtizamo na kitabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia interest zao sio ruzuku tu.watokee watu ambao interest yao sio vyeo bali kutengeneza misingi ya mabadiliko ya kijamii ya kimtizamo na kitabia
Unasikia, Cecil mwambe anaweza kuwa sio sahihi kama asemavyo Pascal Mayalla lakini Mbowe pia sio mtu sahihi kwa siasa za sasa na kwa maono ya mbali ya kutupatia chama mbadala kitakacho tuletea maendeleo ya kweli.Nimesoma huu uzi wa Paskali nimemumelewa maandishi yake huwa anandika kama kunashinikizo fluni hivi, uzuri ipo siku atakuja kusema hapa nilikosea mimi binadamu tu tugange yajayo, ushauri aliutoa hauna nianjema kwa Chadema naamini naamini akirudisha ile hali yake ya zamani wakati anajiita Pasco itamsuta.
Unadhani ni kwanini 2020 Chadema hawatapata wabunge? He nikwasababu chama hakifai au nikwasababu kinanyimwa haki yake ya kupata ushindi? Unadhani wabunge Chadema iliopata 2015 walikuwa ni hao tu au wengi walinyanganywa ushindi na tume ambayo bila aibu na kwauwazi kabisa haitendi haki na ambayo ni tawi la CCM?Kuwa chama kikuu ni lazima uwe na wabunge wa kutosha
Nakuhakikishia 2020 Chadema haipati mbunge hata mmoja........ACT watapata kadhaa kule Pemba lakini siyo bara!
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, kiukweli sisi wazee hatuupendi kweli uzee due declining stage. Hata mimi mimi baada ya kukata 50+, nywele inapoanza kupiga bati wengi wetu ama wananyoa vipara au wanapiga black, wajukuu walipoanza kutokekelezea na kuitwa babu nikaanza kuona noma, nawambia bora mniite grandpa ni afadhali kidogo kuliko babu!. Rounds zilipoanza kupungua kutoka doze ya 3 kwa siku, daily siku zikaanza kupungua zikianzia 3 times a week, 2 times a week sasa only once a week tena round yenyewe moja, kiukweli unaanza kukosa amani na kuhusi kusaidiwa.Kwenye product life cycle Mbowe yupo "declining stage"
True, naunga mkono hojaTatizo ni kwamba CHADEMA CHADEMA wana siasa za ubabe mno
Nafikiri wakivaa yale magwanda wanajiona wote ni Makomando John
Kumbe Panya road hahahahahahaTatizo ni kwamba CHADEMA CHADEMA wana siasa za ubabe mno
Nafikiri wakivaa yale magwanda wanajiona wote ni Makomando John
Mkuu Aziz Musa, watu hao ndio kama huyu Mwambe, namfahamu fika, jamaa ametoka familia bora, ameingia uongozi kwa ari ya kuwa mtumishi wa watu.Jibu la maswali yako ni fupi sana. Watanzania tuna tatizo kubwa juu ya namna tunavyofikiri na tunavyoji 'behave'. CHADEMA' ni sehemu ya watanzania, kwa hiyo watakuwa na tatizo hilo kwa vyovyote vile.
Nini cha kufanya, watokee watu ambao interest yao sio vyeo bali kutengeneza misingi ya mabadiliko ya kijamii ya kimtizamo na kitabia, swali ni ikiwa watu hao tunao na wana uthubutu wa kufanya hivyo? Zaidi ya hapo haya mengine ushabiki tu usio na faida yoyote
Huyu Bagheshi akishashiba magimbi huwa anaandika matope ya majarubani hana lolote.Njaa inamsumbua,mambo ya cdm hayamuhusu na nadhani ajikite na chama chake cha kishetani tu
Comment of the year..Utaitwa Lumumba buku saba sasa hivi... hao jamaa hawataki kupingwa hawana tofauti na Magufuli na CCM
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, kiukweli sisi wazee hatuupendi kweli uzee due declining stage. Hata mimi mimi baada ya kukata 50+, nywele inapoanza kupiga bati wengi wetu ama wananyoa vipara au wanapiga black, wajukuu walipoanza kutokekelezea na kuitwa babu nikaanza kuona noma, nawambia bora mniite grandpa ni afadhali kidogo kuliko babu!. Rounds zilipoanza kupungua kutoka doze ya 3 kwa siku, daily siku zikaanza kupungua zikianzia 3 times a week, 2 times a week sasa only once a week tena round yenyewe moja, kiukweli unaanza kukosa amani na kuhusi kusaidiwa.
Uzee usikie hivyo hivyo, wakati wazee kwa wenzetu wanajipumzikia, huku kwetu wazee ndio they want more!.
Wazee wawapishe vijana.
P
Jiwe alisema Mwambe rohoni yuko CCM , kimwili yuko CDM, basi kama umetumwa kwa hili umefeli. Ulilolifanikisha ni kumsaliti Kabebdera!Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe
Mtu yoyote atakayeleta ukosoaji wawote against Chadema humu jf , watamshukiaUtaitwa Lumumba buku saba sasa hivi... hao jamaa hawataki kupingwa
Kwani kukikosoa chama au mtu ndio kutompenda?. CCM naipenda na kila naikosoa humu.Toa unafiki wako hapa,toka lini ukaipenda CHADEMA?
Sent using Jamii Forums mobile app
🙄🙄🤷♀️Kwani kukikosoa chama au mtu ndio kutompenda?. CCM naipenda na kila naikosoa humu.
Nampenda Magufuli na kila siku namkosoa,
Sasa kwa taarifa yako mimi naipenda sana Chadema.
P
Laiti ungelijua, amini usiamini, Ukiondoa matukio ya tenders za Publicity na consultancies, mimi situmwi na mtu, na japo Mwambe namjua lakini hajanituma.Pascal Mayalla kwani CDM walikufanya nini? Dah unasiliba mwanzo mwisho
Mwambe na Mbowe are you serious
Mwambe yupo kimaslahi zaidi kuliko Mbowe
Mbowe ana uthubutu anakosea sehemu sehemu lakini ni jasiri
Usituchanganye buaana
Bora zimwi ulijualo
Mwambe amewatuma mmpigie kampeni mikoani tu hawamjui
Hebu tuondolee vizabizabina
Mbowe anawaumiza sana eh!
Pole yako..Pascal ana kura mema yatokanayo na kodi zetu kwasasaHuyu Bwana Pascal Mayalla ni Janga kweli, bado anaamini kuwa Rais atamfikiria kama wakina Mtatiro, lakini ndiyo hivyo ni kama Fisi anangojea Mkono wa Binadamu Udondoke.
Jamii ya Kujipendekeza na Kusifu tu! Hovyo kabisa.
Naunga mkono hoja, wampigie Mwambe as many as possible, waende Mirembe ili wampeleke Ikulu, 2020 Ikulu ni Chamwino sio Magogoni, Mirembe is closer!.Na mimi nasema atakayempigia kura Mwambe akitoka hapo aende Mirembe.