Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Rafiki sasa tunyenyekee kwenye haki yetu?!Laiti ungelijua, amini usiamini, Ukiondoa matukio ya tenders za Publicity na consultancies, mimi situmwi na mtu, na japo Mwambe namjua lakini hajanituma.
Hivi ni kweli mpaka hapa Mbowe alipoifikisha Chedema, wana Chadema mnaojitambua, bado hamjagundus hapo ndio optimum peak yake?.
Kwenye political dynamism ya sasa na political dynamics za Magufuli, ukitaka kufanikiwa, lazima uwe moderate politician, Mbowe ni hadliner, Lissu ni extremist, Mwambe ni moderate, kama kuna jambo lako unataka kufanikisha kwa Magufuli na umeishajua Magufuli anapenda kusifiwa, Lissu will never bow down, Mbowe will bow kama alivyo bow juzi pale Mwanza lakini hakusifu hivyo Mbowe will not get what he wants, Mwambe will bow down na atasifu and gets what he wants, who is better?.
Kesho mchagueni Mwambe nyinyi watu mpate mabadiliko.
P
Kwa nini tumgeuze kama Tz ni mali ya mtu mmoja
Wanaonyenyekea ni kwa faida yao binafsi sio wananchi
I see nimeumia mno kusoma statement yako 'Eti tumsifie Magufuli' are you serious??!
Basi safari bado ni ndefu
Mbowe did not bow alituma ujumbe
Bro think twice I see