Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...

Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.

Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali
hawajitamui hata kidogo
 
Sijajua ulichowaza na taarifa ulizonazo kabla ya bandiko lako, nakubaliana nawe kwenye kubadilsisha uongozi hasa ukizingatia kwenye siasa kiongozi anachaguliwa nje ya mkutano na baadaye kuthibitishwa tuu mkutanoni, Hakuna chama cha siasa kitakachotaka kupewa kiongozi anayekuja kufanya majaribio ya uongozi, kila chama kingependa kuwa na mtu dhabti na anayetabilika kwa maana ya sera ya chama husika.
Nasidhani kama Mbowe hajachoka kuongoza chadema, ila nadhani strategy ya washindani wao imewaogofya hasa kwenye ununuzi wa raslimali watu jambo ambalo ni hatari kuliko mbowe kuwepo ili kujihakikishia wanapata mrithi sahihi.
Watakao mchagua huyo uliyemtaja hawana akili kabisaa, na utaona chama kitakapoishia. Bora Mboe kuliko huyo mwingine kwa sasa.
 
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...

Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.

Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali
Huwezi kuwashauri watu wazima na akili zao kwa kuwaambia hawajitambui. Hili ni tusi linalotosha kukurudishia matisi yote unayostahili. Kwa bahati wengine hatuna hulka ya matusi na kashfa. Na kwa vile wengine ni wapinzani tusio na vyama tunakujulisha rasmi kwamba hatuwezi kukuunga mkono unapotukana watu. Hata ungesema ccm hawajitambui bila kujali siwapendi bado nisingekuunga mkono. Wewe binafsi hujawahi kuface machungu ya kuwa mpinzani wa kisiasa nchini. Hao unaowaona hawajitambui wamekuwa wakipigwa na kupewa kesi za uongo kila uchao na hawajakata tamaa. Wewe umeitwa Mara moja tu Kamati ya haki na maadili ya bunge tayari umebadili mwenendo. Sijui kati yako na hao unaowasema nani hajitambui? Kwa mustakabali wa demokrasia kufa au kufifia kwa CDM ni kurudi nyuma kwa Taifa, kwa hiyo chochote watakachokifanya kesho hakipaswi kuwa cha majaribio, wanapaswa kufanya kwa uhakika na kuhakikisha aidha hawarudii makosa au hawafanyi makosa mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ukwel mchungu kwake kama kwl anajiamn na kujitambua mbna kashindwa kuleta mrejesho ktk kile kitimoto alichowekwa?tunataman sana wenzetu waumie kwa ajili yetu na.sisi tuendelee na mambo yetu.
Huwezi kuwashauri watu wazima na akili zao kwa kuwaambia hawajitambui. Hili ni tusi linalotosha kukurudishia matisi yote unayostahili. Kwa bahati wengine hatuna hulka ya matusi na kashfa. Na kwa vile wengine ni wapinzani tusio na vyama tunakujulisha rasmi kwamba hatuwezi kukuunga mkono unapotukana watu. Hata ungesema ccm hawajitambui bila kujali siwapendi bado nisingekuunga mkono. Wewe binafsi hujawahi kuface machungu ya kuwa mpinzani wa kisiasa nchini. Hao unaowaona hawajitambui wamekuwa wakipigwa na kupewa kesi za uongo kila uchao na hawajakata tamaa. Wewe umeitwa Mara moja tu Kamati ya haki na maadili ya bunge tayari umebadili mwenendo. Sijui kati yako na hao unaowasema nani hajitambui? Kwa mustakabali wa demokrasia kufa au kufifia kwa CDM ni kurudi nyuma kwa Taifa, kwa hiyo chochote watakachokifanya kesho hakipaswi kuwa cha majaribio, wanapaswa kufanya kwa uhakika na kuhakikisha aidha hawarudii makosa au hawafanyi makosa mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu wamekuwa wakichangia kwa uchungu kuwa vyama vya upinzani na hasa CDM havijafanya vya kutosha.

Wamethubutu hata kusema mambo gani vyama vilipaswa kufanya.

Lakini tujiulize, hao watu kwanini hawapendi kuingia na kushiriki wenyewe katika vyama? Kwanini wawe watazamaji tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa znasumbua sana watu. Hvi kweli mtu unajisema wewe #Mayala huna chama wakati tunakujua tayari uko na vazi la kijani! Chadema hawajawahi Fanya ujinga huo mpaka Leo hawana mbadala wa mbowe labda angekuwa tundu lisu ndo tinge amini ni kiongozi kweli mbadala wake, mwambe ni mzuri lakni co kwa uenyekiti wa chama. Chama kinahtaji mtu makin sana na asiyeweza yumbishwa na watawala. Mwambe anaweza kuvumilia mikiki mikiki aliyo ipata mbowe bila kujisalimisha? Hapana! Kama kunampango wenu mlipanga mmpigie kampeni mwambe awe mwenyekiti muweze kukiua chama bado mda wake. Mwakan kuna Pambano kubwa sana kati ya Magu na Lisu, mimi nmeanza kuhofu na huyo mwambe wenu huenda mnamtaka mje mumnunue ili Lisu asipitishwe kugombea. Safu ni ileile msubili itawatoa jasho tena mwakan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli mtupu, yeye ndo hajitambui maana huwezi shikwa mdomo kwa kutiahiwa kubambikwa kesi halafu unaanza kutapatapa bila kujua unaowatetea wana langi gani. Pascal Mayala nafasi za uteuz zmejaa
Huwezi kuwashauri watu wazima na akili zao kwa kuwaambia hawajitambui. Hili ni tusi linalotosha kukurudishia matisi yote unayostahili. Kwa bahati wengine hatuna hulka ya matusi na kashfa. Na kwa vile wengine ni wapinzani tusio na vyama tunakujulisha rasmi kwamba hatuwezi kukuunga mkono unapotukana watu. Hata ungesema ccm hawajitambui bila kujali siwapendi bado nisingekuunga mkono. Wewe binafsi hujawahi kuface machungu ya kuwa mpinzani wa kisiasa nchini. Hao unaowaona hawajitambui wamekuwa wakipigwa na kupewa kesi za uongo kila uchao na hawajakata tamaa. Wewe umeitwa Mara moja tu Kamati ya haki na maadili ya bunge tayari umebadili mwenendo. Sijui kati yako na hao unaowasema nani hajitambui? Kwa mustakabali wa demokrasia kufa au kufifia kwa CDM ni kurudi nyuma kwa Taifa, kwa hiyo chochote watakachokifanya kesho hakipaswi kuwa cha majaribio, wanapaswa kufanya kwa uhakika na kuhakikisha aidha hawarudii makosa au hawafanyi makosa mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili CHADEMA iendelee kuwepo wamuchague Mwambe!!? Uache masihara.
Pamoja na mapungufu ya Mbowe, bado ni mtu sahihi wa kuingoza Chadema kwa sasa.

Kwa style Serikali ya Jiwe inavyonyanyasa wapinzani, sifa kuu ya Mwenyekiti wa chama ni lazima awe na uwezo wa mkubwa wa kiuchumi, kumkabidhi mtu dhaifu kiuchumi jahazi litazama, ndicho unachoshauri!

Pia uenyekiti unaweza kumpa Tundu Lissu, kwa sababu ya ufahamu wake mkubwa na kujiamini kwake kunakopita viwango vya watu wengi.

Vinginevyo wewe Paskali utakuwa ni malaika kuzimu. Tunakukataa, ushindwe na ulegee!
Mwenzako yuko kazin,kutoka kwa wale jamaa zetu,anajaribu kurubuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasema chadema hawajui wanataka nini ,mimi naona wewe hujui una andika nini
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...

Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.

Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...

Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.

Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Kwanini Mwambe na Sio Mhowe?.
Nanalizia kwa kusisitiza, Mhe. Mbowe hana tatizo lolote bali amefikia mwisho wa uwezo wake, he can not do anything more than what he can due to over staying na kuwa over saturated to the point of saturated solution that can take no more that it can.

Politics is science, inafuata principles of political science, Mbowe alipokea Chadema kikiwa ni chama cha kiharakati, alipaswa aki transform kugeuka chama tawala in waiting. Serikali Kivuli ni government in waiting, ilipaswa kila Waziri akifanya jambo fulani, waziri kivuli ana counters kwa kueleza how wrong the government is wangekuwa Chadema wangefanya nini tofauti but serikali kivuli ya Chadema utaisikia tuu Bungeni but its like it doesn't exist nje ya Bunge.

Namfahamu vizuri Mwambe, huyu sio mwanaharakati ni strategist, baada ya Chadema kumpoteza Prof. Kitila Mkumbo, na ZZK, kiukweli kabisa Chadema is totally empty in terms of strategists, hivyo Mwambe ata i i transform Chadema kutoka chama cha kiharakati kukigeuza chama tawala in waiting. Japo umaarufu wa Chadema ni ule uanaharakati wake, chama cha kiharakati kazi yake ni harakati tuu, hakiwezi kwenda Ikulu unless na sisi tufanyie majaribio ikulu yetu!.

You can just imagine kama Chadema hii tunayoiona sasa ndio ingepewa nchi ile 2015, hali ingekuwaje?!, si ingekuwa disastrous, thanks God angalizo hili, limesaidia

Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali
Pasco achana na sisi, pambana na hali yako huko CCM ,nakushangaa uliondoka Marekani kuja kula ugali mbovu wa Tanzania badala unge settle life huko USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...

Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.

Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali

Kwanza unaelekea hujiamini na huamini hata maoni yako wewe mwenyewe kwa sababu unaandika ukiwa SO DEFENSIVE bila sababu za msingi ukiachilia ya kupondwa na kupingwa kwa "lugha kali" na wana-CHADEMA kindaki ndaki humu....

Unashangaza kidogo kwa hili. Umesahau kuwa unaandika ukiwa ndani ya JF SIASA hapa. Na so long as unaandikia jukwaa la siasa, basi usitegemee hoja yako kujibiwa kama vile wote humu ni CCM - MAGUFULI PRAISE TEAM....!!

Back to the point of discussion;

By the way, ukiacha kulalamika na kujihami kwako kusikokuwa na sababu zozote za msingi, hoja yako hasa hapa ni nini?

You said, if they want to survive, then they have to do the right thing, right?

What is that " right thing?" that has to be done??

Is it to vote for Cecil David Mwambe to the position of the National Party chairmanship?

Je, ni kwamba wachague mapenzi yako wewe na waliokutuma kupeperusha propaganda nyepesi nyepesi kama hii?

Kufa kwa CHADEMA ndugu Paschal ni unabii wa uongo ulioanza tangu enzi za Mkapa na kupata nguvu sana wakati wa CCM dhaifu ya Jakaya M. Kikwete, lakini, yet, CHADEMA strongly survived and it kept growing up very tremendousily...!!!

And are you again resurrecting the same dead-day-dreams again?....You must be a joker!!

Mimi binafsi, for sure, naamini kwa zaidi ya 99% ya possibility, ni Mr Freeman Aikael Mbowe ku - retain nafasi yake ya uenyekiti taifa....!!

If that happens (and it's going to be so), natamani kuanzia kesho kutwa Alhamisi uje hapa sasa uje uthibitishe namna wana CHADEMA "wasivyotambua"...

Na zaidi sana, uthibitishe KIFO CHA CHADEMA kwa sababu kwa maoni yako, unadhani kumchagua Freeman Mbowe ni kuchagua kufa kwa CHADEMA na ni KUTOJITAMBUA kwao
 
Wanabodi,
Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa Siku Zote Huwa Nailaumu Chadema Kuwa Hawajitambui na Hawajui Wanataka Nini!. Sasa Kesho Chadema Wanafanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Swali ni Jee Sasa Chadema Wanajitambua?, Jee Wanajua Wanataka Nini?...

Katika Uchaguzi wa Kesho wa Mwenyekiti wa Chadema, Kama Chadema Wanajitambua, Watachagua Kuishi, Lakini Kama Bado Hawajitambui Kama Kawaida Yao, Watachagua Kifo!.
Swali ni Jee Chadema Kuchagua Kifo au Kuishi?. Tusubiri Hiyo Kesho Tuone...

Naanza Bandiko Hili na Declaration, Kisha Naleta Justification
Naomba kuanza kwa declaration of interest, mimi Paskali wa Jeiefu, sio mshabiki, mfuasi, au mwanachama wa chama chochote cha siasa, lengo la declaration hii ni kwa ajili ya manazi wa Chadema waliotamalaki humu JF, ambao ukichangia jambo lolote ambalo hawalipendi, watakushukia kwa kukubeza, kwa vile wewe sio Chadema, mambo ya Chadema, yanakuhusu nini?!, hivyo maneno kama "pilipili usioila inakuwashia nini?" hayawezi kukosekana. Naamini kuna Watanzania wengi kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, na kuna wanachama wa vyama vya siasa ambao wako very objective kwa maslahi ya taifa wakiwemo wana CCM ambao wangependa kuona, nchi yetu inapata credible opposition, kwa huku Bara, Chadema ndicho chama pekee kilichoonyesha angalau kinaweza, ila baada ya kutokea huyu game changer aliyabadili the political game, Chadema imeporomoka na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kama Chadema hawatafanya the right thing now, they are going to be reduced to nothing. Chadema ikifa, sio hasara kwa Chadema na wanachama wa Chadema tuu, ni hasara kwa Taifa na Watanzania kwa ujumla kwa nchi kurejea chini ya mfumo wa chama kimoja which is not good at all kwa majaaliwa ya mustakabali wa taifa letu.

Justification
Kuna justification kubwa moja kwa mtu ambaye sio Chadema kujadili mambo ya Chadema. Chadema kwa vile ni chama cha siasa na kina wanachama, kuna watu wanadhani Chadema ni private party, interms of usajili na kujiunga hivyo ni mali ya wanachama na viongozi wao pekee, no!, Chadema is a public party, nichama cha umma wa Watanzania, na kinaendeshwa kwa kugharimiwa na tax payers money, hivyo ni public party, kwenye kitu kinachoitwa "private property no right to trespass", hii maana yaye ni mali ya mtu binafsi ina kinga ya kisheria ya kutoingiliwa, na hata katika mienendo na maisha binafsi ya watu wakiwemo viongozi, kuna kinga ya kifaragha, "the right to privacy" ambayo haipaswi kuingiliwa, lakini mtu yoyote, au taasisi yoyote inayolipwa with tax payers money, inapoteza hizo kinga zote mbili za private propery na the right to privacy, the tax payers have all the rights to know the public as well as the private conduct of such entity maana nikodi zao!. Kwa vile Chadema kinaendeshwa kwa ruzuku, hiyo ruzuku ni fedha yako, fedha yangu na fedha yetu as public, hivyo we have all the rights, kujua kila kitu kuhusu Chadema na kutoa maoni yoyote kuhusu Chadema, na ndio maana hesabu za Chadema, zinakaguliwa na CAG.

Hoja za Bandiko hili
Japo Chadema wenyewe hawajikubali na kuukubali ukweli kuwa Chadema hapa kilipofika kama chama kikuu cha upinzani kiko stagnant na graph yake imeanza kushuka kwa kasi ambapo viongozi na wanachama wake wanaojitambua, they are doing the right thing, wengine wanasubiri tuu Bunge livunjwe nao waamue, hivyo wana Chadema kindakindaki wenye misimamo thabiti, walioamua kuifia Chadema, itawabidi wajitambue "Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui, Sijui Sasa Kama Wanajitambua, Hebu na Tusubiri Tuone!".

Hitimisho
Kwanini Mwambe na Sio Mhowe?.
Nanalizia kwa kusisitiza, Mhe. Mbowe hana tatizo lolote bali amefikia point of his optimum, mwisho wa uwezo wake, he can not do anything more than what he can or what he did due to over staying na kuwa over saturated to the point of saturated solution that can take no more that it can.

Politics is science, inafuata principles of political science, Mbowe alipokea Chadema kikiwa ni chama cha kiharakati, alipaswa aki transform kugeuka chama tawala in waiting. Serikali Kivuli ni government in waiting, ilipaswa kila Waziri akifanya jambo fulani, waziri kivuli ana counters kwa kueleza how wrong the government is wangekuwa Chadema wangefanya nini tofauti but serikali kivuli ya Chadema utaisikia tuu Bungeni but its like it doesn't exist nje ya Bunge.

Namfahamu vizuri Mwambe, huyu sio mwanaharakati ni strategist, baada ya Chadema kumpoteza Prof. Kitila Mkumbo, na ZZK, kiukweli kabisa Chadema is totally empty in terms of strategists, hivyo Mwambe ata i transform Chadema kutoka chama cha kiharakati kukigeuza chama tawala in waiting. Japo umaarufu wa Chadema ni ule uanaharakati wake, chama cha kiharakati kazi yake ni harakati tuu, hakiwezi kwenda Ikulu unless na sisi tufanyie majaribio ikulu yetu!.

You can just imagine kama Chadema hii tunayoiona sasa ndio ingepewa nchi ile 2015, hali ingekuwaje?!, si ingekuwa disastrous, thanks God angalizo hili, limesaidia

Namalizia Kwa Lile Lile Swali la Msingi, Kama Chadema Sasa Wanajitambua, na Wanajua Wanataka Nini, Watamchagua Mwambe, Lakini Kwa Vile Siku Zote Chadema Huwa Hawajitambui!...Then Watamchagua Tena Mhe. Mbowe. Swali Jee Chadema Sasa Wanajitambua na Kujua Wanataka Nini?Au Bado Hawajimbui?,

Tusubiri Tuone!.

Nawatakia Wana Chadema, Uchaguzi Mwema wa Kuchagua Ama Kuendelea Kuishi Ama Kifo!.

Paskali
Kwa kuwa "CHADEMA SIKU ZOTE HUWA HAWAJITAMBUI" Wewe ni PASCAL MAYALLA KABISA???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfahamu vizuri Mwambe, huyu sio mwanaharakati ni strategist, baada ya Chadema kumpoteza Prof. Kitila Mkumbo, na ZZK, kiukweli kabisa Chadema is totally empty in terms of strategists, hivyo Mwambe ata i transform Chadema kutoka chama cha kiharakati kukigeuza chama tawala in waiting.
Nimetamani kusikia zaidi namna unavyomfahamu Mwambe, hasa harakati zake za siasa, alikoanzia na hapa alipo. kwa ufupi umesema Mwambe ni 'strategics' kwa yapi aliyofanikisha.
 
Chadema ni taasisi. so ikitengeneza road map, tuseme sera madhubuti na mikakati then any one can walk on those bila kujali ni Mbowe, Mwambe or what, whoever! Dunia halisi haihitaji mitume na this is our problem ndo maana mapambio ya sifa na utukufu kwa wafalme hayaishi kwa mtu mweusi.
La muhimu ni kusugua vi chwa na kuweka strategies ambazo zitalazimika kufuatwa na yeyote. P, I take you as a great mind but now you seem to turn to personalities. Mbowe will go one day and afterall he is not a mwanafalsafa na mwingine pia atatoka but cdm as an instituyion has to remain. Ccm has also to remain but tunavisaidiaje vyote viwepo kwa faida ya Tanzania?
I want ccm, I also want chadema. These two have to be there but how do we help them.
Wajinga humu wamekalia chuki na wivu no mawazo ya kujenga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma huu uzi wa Paskali nimemumelewa maandishi yake huwa anandika kama kunashinikizo fluni hivi, uzuri ipo siku atakuja kusema hapa nilikosea mimi binadamu tu tugange yajayo, ushauri aliutoa hauna nianjema kwa Chadema naamini naamini akirudisha ile hali yake ya zamani wakati anajiita Pasco itamsuta.
 
Back
Top Bottom