Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mauaji ni mauaji tu. Hakuna class ya mtu kuondolewa uhai wake kikatili...Nature ya tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mauaji ni mauaji tu. Hakuna class ya mtu kuondolewa uhai wake kikatili...Nature ya tukio
Yale mauaji ni ya kulipiza kisasi... Maujaji ya mateso. Ni dhulima ya mali/fedha au mapenzi...Nimewaza, nimewazaaa, nikawaza tenaaaa au huyu dada alikuwa mchepuko wa mtu ambaye wamesumbuana na mkewe saabu ya Martha pis kali akaamua amtoe kabisa
Nimewaza kwenye mapenzi labda ameingilia penzi la mwanamke mafyaYale mauaji ni ya kulipiza kisasi... Maujaji ya mateso. Ni dhulima ya mali au mapenzi...
Umeongea vema, kwa mauaji yale kwangu naona sehemu kubwa ni masuala ya pesaYale mauaji ni ya kulipiza kisasi... Maujaji ya mateso. Ni dhulima ya mali au mapenzi...
At the end nao ufaMauaji ni mauaji tu. Hakuna class ya mtu kuondolewa uhai wake kikatili...
Na akaonywa lakini akakaidi...Nimewaza kwenye mapenzi labda ameingilia penzi la mwanamke mafya
Siri nzito lkn ukweli mdogo utajulikanaNimewaza, nimewazaaa, nikawaza tenaaaa au huyu dada alikuwa mchepuko wa mtu ambaye wamesumbuana na mkewe saabu ya Martha pis kali akaamua amtoe kabisa
Ukizingatia alikuwa anafanya kazi Benki... Most likely ni fedhaUmeongea vema, kwa mauaji yale kqangu naona sehemu kubwa ni masuala ya pesa
Hakuna atakosa kuyaonja mauti... Style ya kufa ndio huleta gumzoAt the end nao ufa
Mapenzi yanauma vibbayaa vibbayaaa acheni....nimewaza tuu juu ya Martha kuwa mchepuko wa mtu kama ni mali basi labda walikuwa na conflict of interest na ndugu zake wameamua kuondoa giza mbele yao watimize azma yaoNa akaonywa lakini akakaidi...
Ànafurahisha genge.kwa maeleznd yako aidha haumiliki silaha au unaitumia kimakosa SANA jambo ambalo sidhani kama mtu alieaminiwa kumiliki anaweza kufanya.
unapigaje risasi kwa kusikia tu sauti ?! Bila kujua chanzo, na hicho chanzo kina hatari kiasi gani, na hata clear target haujaipata ?!! Aisee jf kiboko
Aisee damu ya mtu sijui ina siri gani, kuna kaujinga minor katawakamatisha!Hao jamaa sio wajinga hivyo
Yule alikuwa mfanyakazi Bank. Kuna rumours aliwapiga sana wana kwenye akaunti zao... Sasa walipomvalia njuga akaacha kazi akarudi Kibaha kwa baba yake.... Wana wakamfungia safari...Mapenzi yanauma vibbayaa vibbayaaa acheni....nimewaza tuu juu ya Martha kuwa mchepuko wa mtu kama ni mali basi labda walikuwa na conflict of interest na ndugu zake wameamua kuondoa giza mbele yao watimize azma yao
Oohoooo pia niliwaza jambo hilo na kahama ni mji wenye wafanyabiashara wa madini.....ila nawaza pia kama Mshana Jr alivyosema watakaokuwa wametekeleza haya ni wenyeji wa eneo la kibaha sio wageni kutoka mbaliYule alikuwa mfanyakazi Bank. Kuna rumours aliwapiga sana wana kwenye akaunti zao... Sasa walipomvalia njuga akaacha kazi akarudi Kibaha kwa baba yake.... Wana wakamfungia safari...
Hizi ni rumours tu lakini. Matukio kama haya kila mtu husema lake
Unadhani watakosa connection? Mwana anatoka Kahama anajikalia zake hapo Tumbi akitafuta watu wa kumfanyia kazi. Wanafanya mambo anawalipa anarudi zake machimboni...Oohoooo pia niliwaza jambo hilo na kahama ni mji wenye wafanyabiashara wa madini.....ila nawaza pia kama Mshana Jr alivyosema watakaokuwa wametekeleza haya ni wenyeji wa eneo la kibaha sio wageni kutoka mbali