Naingia chimbo hadi kesho asubuhi waliomuua Martha watajulikana kwasababu ya huu ushahidi mmoja tu

Unadhani watakosa connection? Mwana anatoka Kahama anajikalia zake hapo Tumbi akitafuta watu wa kumfanyia kazi. Wanafanya mambo anawalipa anarudi zake machimboni...

Hili la kuacha kazi ghafla, na mauaji yakafanyika ndani ya mwezi mmoja baada ya kuacha kazi, haliwaondoi wazee wa Kahama kama suspects
Uko vizuri.. Sana tu
 
Yule alikuwa mfanyakazi Bank. Kuna rumours aliwapiga sana wana kwenye akaunti zao... Sasa walipomvalia njuga akaacha kazi akarudi Kibaha kwa baba yake.... Wana wakamfungia safari...

Hizi ni rumours tu lakini. Matukio kama haya kila mtu husema lake
Noooo mkuu, mfanya biashara au yeyote Alisha deposit, Ile dhamana inakua ni ya bank kuilinda sasa ikitokea mfanyakazi available au chochote kile inakua ni fraud case ambayo bank inamfungulia staff wake, fedha za wateja zipo salama as far as zimeingizwa ndani ya mfumo wa kibenk
 
Upo sahihi mkuu!!yaaani kuna watu wanachangia unasoma unajua kabisa hawana uelewa wa mambo mengi sana.
 
Noooo mkuu, mfanya biashara au yeyote Alisha deposit, Ile dhamana inakua ni ya bank kuilinda sasa ikitokea mfanyakazi available au chochote kile inakua ni fraud case ambayo bank inamfungulia staff wake, fedha za wateja zipo salama as far as zimeingizwa ndani ya mfumo wa kibenk
Nakuelewa mkuu. What if aliwadanganya kaziingiza kumbe hazijangizwa....? usisahau wana wako naive, wanadanganywa kirahisi sana.... Tunazungumzia mtu asiyejua hata transaction ilifanyike haoni notification yeyote.... Ila anakuamini wewe msiri wake

Ulishawahi kuwaza hilo?

Afu mwisho wa siku anaambiwa hana hata senti
 
uko kwenye taasisi ya kibenki? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.... Kuna escrow account pia kwenye mabenki
 
Noooo mkuu, mfanya biashara au yeyote Alisha deposit, Ile dhamana inakua ni ya bank kuilinda sasa ikitokea mfanyakazi available au chochote kile inakua ni fraud case ambayo bank inamfungulia staff wake, fedha za wateja zipo salama as far as zimeingizwa ndani ya mfumo wa kibenk
Nafurahi kujua wewe ndugu yangu ni mtu wa mabenki. Ila kilichotokea wakati NBC na NMB zinasplit tuachie wakubwa...
 
Noooo mkuu, mfanya biashara au yeyote Alisha deposit, Ile dhamana inakua ni ya bank kuilinda sasa ikitokea mfanyakazi available au chochote kile inakua ni fraud case ambayo bank inamfungulia staff wake, fedha za wateja zipo salama as far as zimeingizwa ndani ya mfumo wa kibenk
What if Martha labda alikimbia fraud case? Na watu hawakutaka kupoteza mazima?
 
kusurvive kwa kupiga risasi ovyo na usishikiliwe na mamlaka husika na kutoa maelezo ya kina kwa uzembe huo, tafadhali dogo mbona unaweza kudanganya mambo mengi tu na silo unachobwabwaja hapa.
Mkuu hapa kahama kuna jamaa alikuwa kila akitoka club maarufu ya CHOMA ZONE...mida ya sa nane usku lazma apige risas moja au mbili hewan na alikuwa akitembea kwa miguu toka mwaka huu uaze sjawahi kumwona tena ...
Kahama n utemi utemi yaaan kamaa hakuna serikali
 
Yule alikuwa mfanyakazi Bank. Kuna rumours aliwapiga sana wana kwenye akaunti zao... Sasa walipomvalia njuga akaacha kazi akarudi Kibaha kwa baba yake.... Wana wakamfungia safari...

Hizi ni rumours tu lakini. Matukio kama haya kila mtu husema lake
Duuuh hatareeee.
 
Wakati umefika sasa kwa public places zote nchini yaani,shopping malls,schools, masjids, churches, hotels, restaurants, and all business places ziwe na mifumo ya cctv inayofanya kazi, na all municipalities waweke cctv kwenye mitaa yao, ni muhimu kutumia technology kupambana na crime, huwezi kuwalazimisha raia wenye magari waweke hizi cameras kwenye magari yao
Maji tu ya kuoga ni kama dhahabu ndio wataweza kufunga camera mitaani
 
Kwa kila uhalifu na mhalifu,ni lazima ushahidi utaachwa tu(alibi)!Ni umakini,uwazi na utaalamu fuatilizi utumike.
 
Tuliambiwa kuwa Awamu ambayo Matukio haya yalikithiri ilikuwa ni ya aliyechukiwa Hayati Magufuli kumbe hata Awamu hii ya anayependwa Rais Samia bado Utekaji na Mauwaji yanaendelea?

Kwa sasa mauaji yameongezeka zaidi lakini kamwe hutosikia wapinzani uchwara wakisema, ndio maana mimi niko na mzee wangu Rungwe Spunda hadi tuchukue nchi
 
Nakuelewa mkuu. What if aliwadanganya kaziingiza kumbe hazijangizwa....? usisahau wana wako naive, wanadanganywa kirahisi sana.... Tunazungumzia mtu asiyejua hata transaction ilifanyike haoni notification yeyote.... Ila anakuamini wewe msiri wake

Ulishawahi kuwaza hilo?

Afu mwisho wa siku anaambiwa hana hata senti
Huna akili...bora unyamaze.
We unadhani Bank ni kama kile kibubu chako hapo nyumbani?!.
 
Yule alikuwa mfanyakazi Bank. Kuna rumours aliwapiga sana wana kwenye akaunti zao... Sasa walipomvalia njuga akaacha kazi akarudi Kibaha kwa baba yake.... Wana wakamfungia safari...

Hizi ni rumours tu lakini. Matukio kama haya kila mtu husema lake
Aisee sikubaliani na hii;
Bank acc ina mkataba wa Bank na mteja sio mfanyakazi wa bank, yeye kuacha kazi haimaanishi wateja hawatapata haki yao maana bank stil existing na kesi ingekuwa bank na wateja....wakati huo bank iki deal na mfanyakazi wake!
 
Wanachokisema wajenga hoja... Hakuwahi kuiBank mihamala yao. Ilikuwa inaishia hewani....

Rumours....
 
Back
Top Bottom