Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
waseme nini wakati nao wanalamba asali kwa sasa? jamaa wanafiq sana.Kwa sasa mauaji yameongezeka zaidi lakini kamwe hutosikia wapinzani uchwara wakisema, ndio maana mimi niko na mzee wangu Rungwe Spunda hadi tuchukue nchi
Kuna jamaa walipigwa hela ndefu sana Exim Bank Arusha miaka ya 2014 kwa kumuamini mshikaji wao aliekua anafanya kazi hapo hapo bank,na bank haikuwajibika kwa loloteNakuelewa mkuu. What if aliwadanganya kaziingiza kumbe hazijangizwa....? usisahau wana wako naive, wanadanganywa kirahisi sana.... Tunazungumzia mtu asiyejua hata transaction ilifanyike haoni notification yeyote.... Ila anakuamini wewe msiri wake
Ulishawahi kuwaza hilo?
Afu mwisho wa siku anaambiwa hana hata senti
Anafikiria movie ya James bondRafiki yangu punguza kumwangalia Daniel Craig atakuponza π π π
Watu wanaouliws kinyama kama hivyo ni dhahiri Kuna sehemu wamekanyaga wire ...Itajulikana tu hii dunia ukileta ujuaji utaondoka mapemaYule alikuwa mfanyakazi Bank. Kuna rumours aliwapiga sana wana kwenye akaunti zao... Sasa walipomvalia njuga akaacha kazi akarudi Kibaha kwa baba yake.... Wana wakamfungia safari...
Hizi ni rumours tu lakini. Matukio kama haya kila mtu husema lake
Kama ni mapenzi kesi ishaisha, wauaji hawatadumu huru.Nimewaza kwenye mapenzi labda ameingilia penzi la mwanamke mafya
We mzee mbeba box unaulizwa huku na dada Shetwani, umewapata au tukuongezee mda!Ushawapata wauwaji au tuendelee kukupa muda?
Mi ndio shetani? Kweli mi shetani jamani....namuachia Mungu kwakweli πWe mzee mbeba box unaulizwa huku na dada Shetwani, umewapata au tukuongezee mda!
Dada samahani. K - Vant mbaya eti. Ujue hiyo Evelyn nimeona kama Evil eti. Daaaa K- Vant weee!Mi ndio shetani? Kweli mi shetani jamani....namuachia Mungu kwakweli π
Naomba namie hiyo k vant ili haya mambo yaishe moyoni, make nimeyaweka moyoni πDada samahani. K - Vant mbaya eti. Ujue hiyo Evelyn nimeona kama Evil eti. Daaaa K- Vant weee!
Sasa unaipataje dada yangu. Hebu nipe utaratibu nipate msamaha wakoππππNaomba namie hiyo k vant ili haya mambo yaishe moyoni, make nimeyaweka moyoni π
HahahahahahNaomba namie hiyo k vant ili haya mambo yaishe moyoni, make nimeyaweka moyoni π