Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Kwani maandalizi ya sex huwa mnafanya baada ya kukutana?Huo mda unakuwepo?
Vichwa vya chini vikishika hatamu huwa watu wanakumbuka siku za hatari wakiwa kwenye commercial break
Utasolve na utakaa sawaUtadhani kagonjwa Sasa ka bro kenyewe
Mbona wachache sanaYan mwezi huu march tu hata haujaisha
Ushagonga pisi 3?
Kuna watu mna ka umalaya ka asili 🤣🤣🤣
😂😂 dah
Ila wanaume!!
Si heri ungewamezesha p2?
Naona unajiandaa kuwamezesha Miso
Hatutoi pesa wewe nunua dawa anywe unamuona kuepusha vizinga vya ajabu ajabuPesa nilitoa on the spot baada ya kugundua ni dangerous
You take it simple bossKwani maandalizi ya sex huwa mnafanya baada ya kukutana?
Haipaswi kuwa hivyo. Mnapopanga miadi pale ndiyo kila mmoja awe muwazi kwa mwenzake haswa mwanamke. Hii ni kuandaana kisaikllojia.
Kukutana mfanye hivyo kila mmoja akiwa tayari anajua hali ya mwenzake.
Mmeamua kumsaidia kuua watoto wake?Kama umeamua otherwise unitafute nikuuzie miso safi kabisaaa grade 1
Bora hiyo hela walikula. Kuwamezesha watoto wa watu, wake wa wenzio P2 ni hatari sana.Wote walijua wapo safe lakini baada ya sex nikarudia kuhesabu siku zikadondokea danger na pesa za p2 walikula😀😀
Kwahiyo unataka yeye akulishe wewe? Nyie wanaume wa wapi? Anyways toa nyuma mkuu hutaingia gharama.Kijana usifanye kosa la kuoa. Hawa wanawake ni kama mkopani tuu. Full adabu kabla ya kupata hiyo pete. Ukishamuoa ndio utajua true colours zake. Yaani utashangaa mwenyewe na roho yako. Hizo garama mbona ndongo ukilinganisha na kukosa uhuru wako, kulilisha jitu zima lenye miguu na mikono miwili, kuoangiwa siku ya kula mbususu.
Fear women my friend. They are a weapon of mass destruction!
Kile hakijawa kiumbeMmeamua kumsaidia kuua watoto wake?
Ipo siku utazijua tuMiso ndio nini jaman nitoen ushamba
Unashangaa Tatu watu tupo Kumi na mojaa hukoYan mwezi huu march tu hata haujaisha
Ushagonga pisi 3?
Kuna watu mna ka umalaya ka asili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ExactlyKwahiyo unataka yeye akulishe wewe? Nyie wanaume wa wapi? Anyways toa nyuma mkuu hutaingia gharama.
Kinakuwa kiumbe baada ya muda gani?Kile hakijawa kiumbe