Naingia gharama za uzinzi niliofanya mwezi huu

Kondom kazi yake nini? Kuepusha maswaibu kama hayo.

Hukuteta naye akuambie kama yupo kwenye siku zake za hatari?
 
Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.

Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa😀
Nikakaa na kufikiri hivi umeoa zako ukanakula mbususu ya mkeo yaani safi
Hii kataa ndoa nayo ni uchwara tu nitasaliti chama apa Malaki kibao yanaenda kunitoka
😬😬😬
🚮
Mzee unataka kusaliti chama la KATAA NDOA?🤔
 
Hao kataa ndoa,wanashida mahali,au wana mahusiano haramu,ya kificho kwakuwa wanafahamu hayakubaliki katika jamii.Ila sasa wewe oa,kataa uzinzi kwani ni dhambi,gharama na hatari kwa maisha yako na hata kwa wanaokutegemea .wakatae wakataka ndoa kwani wameshapotoka . Mwisho wao ni kuni za kuwachomea waovu .
 
Kondom kazi yake nini? Kuepusha maswaibu kama hayo.

Hukuteta naye akuambie kama yupo kwenye siku zake za hatari?
Wote walijua wapo safe lakini baada ya sex nikarudia kuhesabu siku zikadondokea danger na pesa za p2 walikula😀😀
 
Mzembe sana mwenzenu
Anapenda nyama kwa nyama.

Alafu matokeo yakitoka aanza kupaparika. Kutoa hivyo vilaki vya kuchoropoa ama kutunza mimba ni haki yake. Huwezi kumwaga tu bila utaratibu.
 
Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.

Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa[emoji3]
Nikakaa na kufikiri hivi umeoa zako ukanakula mbususu ya mkeo yaani safi
Hii kataa ndoa nayo ni uchwara tu nitasaliti chama apa Malaki kibao yanaenda kunitoka
[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji706]
Mamluki wewe,hujawahi kuwa mmoja wetu.
KATAA NDOA.
 
Wamekula pesa za p2 aise
Usitumage pesa mzee P2 inanyweka kama SP yani mbele yako na uhakikishe umemeza
Hawa wa mjini hela ya P2 anakula anakutishia haon period unatuma ya miso anakula alafu anazaa katoto umefanana nako kila kitu
 
Pesa nilitoa on the spot baada ya kugundua ni dangerous
 
Back
Top Bottom