Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano ana pacha wake(TWIN) au nikimtongoza mdada ambaye ni pacha anakuwa mwepesi kunikubalia sasa huwa najiuliza je hili suala lina maana gani spritually?
Naamini humu kuna wajuzi wa mambo mnaweza kunielekeza vizuri kuhusu hili suala.
UPDATES
Nilijikuta nipo kwenye mahusiano na pacha mwingine na kwa sasa ni mama kijacho ila sijui hii kitu spiritually inamaanisha nini