Naingia Shambani very serious kulima Alizeti

ulifika wapi?
 
Ndivyo ilivyo mkuu
Kila kitu kinaanza na idea kichwani au kuweka kwenye makaratasi kisha inafuata utekelezaji

So far so good
Soma updates
Umetisha sana mkuu,na huu ndio muda muafaka wakupiga pesa,je ni mwezi gani tena unafaa kwa kilimo hiki cha Alizeti?
 
Mbegu bora ni hysun kaka.... hiyo ASA ni ya daraja la chini
 
Mkuu mrejesho baada ya kuvuna vp???
 
Mbegu bora ni hysun kaka.... hiyo ASA ni ya daraja la chini
Mwaka Jana nililima Hysan Eka 10 nikapata gunia 35 ambazo zilitoa mafuta dumu 47.
Mwaka huu nimelima ASA eka 15 ,Ila ASA inavutia zaidi ukiangalia jinsi inavyoota na inavyokua Ila mwaka huu mvua imekuwa uchawi mkuu
 
Au bora kulima mseto kuliko alizeti pekee yake heka nyingi hivyo
Tatizo lipo kwenye rutuba,aridh inayolimwa mahindi inafaa kulima Mahindi na Alizeti,Ila Kuna aridhi ya kichanga Ile tunalimaga Alizeti tu, mahindi haistawishi.
Japo kitunguu maji nae anakimbiza Sana kwa singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…