Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

Nimecheka sana, papai unalima miezi sana!! Unafikiri ni mahindi, jf raha sana,
Uwe unasoma comment vizuri
Kwenye miezI 12 natumia miezi 7 kulimia papai, miezi 3 ni ya mvua huwezi lima papai kwenye miezi ya mvua
Kilimo cha papai hakihitaji maji mengi, ukiotesha mwezi wa 9 by mwezi wa 3 unakula papai
 
Kwa uzoefu wako unajuaje papa dume likiwa dogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…