Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hiyo bei jumla ukifikisha sokoni tena mbegu ya kisasa papai kubwa sana na siyo msimu wa papai nyingi za kienyeji.Nakufatilia kwa karibu kiongozi,. Tupe darasa kutokana na uhalisia
Kiangazi kikuu ukitoa papai kubwa Sana utauza 1500 hadi 2000 bei ya jumla ukifika sokoni kwa dalali.
Hapo bado dalali hajakusokota, pia kuna ushuru, usafiri na ulinzi.