Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

Kama moja ya mission yako ni kujustify bambikia ya ugaidi umefeli kabla hujaanza, ama ile mupango ya kuifuta chama inayohatarisha maslahi yenu, kajipange upya.
Tena hayo mawazo ya CDM inaenda kufa na kusambaratika alikuwa nayo hata mwendazake cha ajabu yeye kafa na kusambaratika CDM bado ipo.
Mleta mada angalia nawe usije kufa na kusambaratika dushe au mbususu yako ukaiacha CDM na watu wake.
Hayo mawazo yako sio ya kwanza kusomwa humu jukwaani.
 
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana

1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?
Hayo tumeyazoea toka enzi hakuna jipya.
 
Wengi waliosema Chadema itakufa wamekufa, akiwemo jiwe aliyekuwa anakulipa na ukifanya mchezo tutaweka hadharani akaunti ya NMB uliyokuwa unaingiziwa pesa wewe na mamluki wenzio kabla hujatemwa

Wewe Mungu ndiye anayepanga nani afe nani abaki acha kukebehi uwezo wa Mungu....bila shaka ndugu zako wote wako hai hawajafa toka walivyoumbwa duniani hapa..
 
Mkuu haya maono kuwa cdm inakwenda kufa yako toka enzi za kina Wasira. Hivyo huna mawazo tofauti na hao wengine lakini ikawa tofauti. Endelea kuota kaka.
Cdm Waki react atakuja kusema wanavurugu, Hawa watu bana
 
Mbona nyie kwenu magwajima yagombana kutofautiana ni kawaida tu
 
CDM imekuwa threat kwa CCM, kwa takribani miaka 15 sasa; CCM wanalijua hilo na ndiyo maana wanajaribu kutumia turufu yao ya mwisho kabisa kujaribu kuifuta ili wapumue...kitu ambacho bado ni ndoto za mchana chini ya mwembe.
 
Kuna jinga moja lilinifanya niende jela ya hapa jf

Alafu kuna mods humu wana vimihemuko balaa, ukitoa coment inayochoma moyo wake wa kisiasa unashangaa anabonyeza kitufe cha ban
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu. Pole sana, huku tupo tu miaka yote na hatuna ban. Ukijichanga mods wanakupigisha shot.
 
Huko Twitter kigogo kugeuka kijiti. Amepata sonona, alifikiri cdm ni chama cha wazee kama ccm.
 
Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu. Pole sana, huku tupo tu miaka yote na hatuna ban. Ukijichanga mods wanakupigisha shot.
Itabidi nijifunze kuwa kama wewe matusi yako kwa sisi mataga huwa ya reja reja tu

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
LISSU Mwenyewe si msafi Kama mnavyodhani ni Mchafu tu Kama wachafu wengine! Najiuliza watu wakikosolewa wanadhani umetumwa !!!!! Nashangaa sana sana sana
 
Itabidi nijifunze kuwa kama wewe matusi yako kwa sisi mataga huwa ya reja reja tu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huwa situkani bali huwa nawasha moto, ww unapanic unatokana unategemea utatoboa kweli?
 
Wengi waliosema Chadema itakufa wamekufa, akiwemo jiwe aliyekuwa anakulipa na ukifanya mchezo tutaweka hadharani akaunti ya NMB uliyokuwa unaingiziwa pesa wewe na mamluki wenzio kabla hujatemwa
Weka hadharani mkuu, unaogopa nn wakati hujulikani
 
Ungesema tu lengo la post yako ni kumchafua Lissu. Umetumwa na yule Lissu alimuita MJINGA? Maana naskia kajiapiza "kummaliza Lissu" (clue: he won't and can't).
Hahaha we Chahali Mblok Watu Twitter una uoga sana wa hali ya juu!! Nakumbuka ulituaminisha kwamba Kigogo ataiangusha serikali ya SAMIA wawe makini naye!!kwamba anatumwa na BASHITE haha Mara unasema Kigogo kamalizwa na Lissu!! Ujiilizi uko Twitter Miaka zaidi ya 10 una followers laki 2 kilichonichekesha ni kwamba unayeanzisha vita naye Ana followers zaidi ya 600k na wameongezeka Maradufu baada ya ninyi kuanzisha program ya unfollow Kigogo haha nimecheka mlipoanzisha program hiyo nili screenshot followers alio nao na sasa Katimiza 600k wakati alikuwa juzi na 540k

we Tulia ufundishe Kiswahili hahahahaha hahaha mshahara wenyewe hautoshi unaishia kuomba omba washkaji waishio Ughaibuni wamejaza meseji zako kibao!!

makamba ulimwomba Pesa akakausha uka mind

Yaani toka azulumiwe $2000 na Kinana za kumtukana Lowassa una hasira na kila mtu Chahali
 
Yaani kama chama hakina Mbunge, hakina kiongozi hata wa serikali za mtaa halafu mnakiogopa basi mtakua na matatizo makubwa ya akili
 
Jela pasikie tu.
 
WA
TU WAKIAMBIWA WANABISHA NA KUMUONA KAMA MALAIKA PALE UFIPA LAKINI MUDA NI MWALIMU MZURI KARIBU YANAFICHUKA POLE GAIDI
 
Swali la msingi,ni nani aliyewaondoa walinzi wa Suma JKT pale area D langoni kuingia makazi ya viongozi ambapo ndipo Lissu aliposhambuliwa?Ukilitafakari hili basi utajua nani alikuwa nyuma ya mchezo!
 
hawataweza tena wameshachelewa wacha waendelee kuganga njaa tu kidogokidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…