Pesa haishindwi mbowe anakesi ya kufadhiri ugaidi moja ya ugaidi ni huo kufadhiri walinzi wasiwepo eneo la kazi ili watu wa mbowe wafanye yao wa lissuSwali la msingi,ni nani aliyewaondoa walinzi wa Suma JKT pale area D langoni kuingia makazi ya viongozi ambapo ndipo Lissu aliposhambuliwa?Ukilitafakari hili basi utajua nani alikuwa nyuma ya mchezo!
Kama hufahamu mambo ni bora kukaa kimya!Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana
1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?
2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha kwamba hakuna matumaini yeyote juu ya mipango wanayosema
3. Sasa hivi ndani ya Chama wamegawanyika sana!
4. Lissu anogopa Kwenda Tanzania kuhamasisha mabadiliko on ground anaishia kumtuma bwana Godfrey Rwehumbiza wa Bangkok amuombee msamaha kwa Samia na kufutiwa mashtaka Yaan anajinasua mwenyewe tu!! Huyu Rwehumbiza Ana act kama Balozi wa Tanzania nchini Thailand anakaa Soi 7 Sukhumvit road Thonglou. Japo Tanzania tunapata Visa za Thailand kupitia Kenya ila Rwehumbiza ndio anafanya uwakilishi wa mambo kadhaaa
3. Vijana wa CHADEMA hawana kinachoendelea zaidi ya BAWACHA ndio wanafanya kazi kubwa!!! Wao wenyewe wanazungukana! Walikubaliana woote waliokamatwa Mwanza wasikubali dhamana ila John Pambalu baada ya kutishiwa na mtuhumiwa pale Central kwa kutoa uume wake na kumtisha kwamba njoo tulale akapiga kelele asubuhi Anaomba dhamana !
4. LISSU anabeza sana mawazo ya wengine aliona kwamba yeye mawazo yake ndio alpha na Omega Kuna matatizo
Britanicca
Wanafananisha Chadema na CCJHivi kwanini huwa mnadhani kazi wanayoifanya CDM ni rahisi kiasi hicho? Mambo mengi yanahitaji mipango ya muda mrefu, kazi yenu kuwalaumu tu kama mnawalipa!
Mkuu au unazungumzia upande wa ccm kinyume nyume?Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana
1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?
Da yaani wajinga siyo lazima waokote makopo hata atakaye amini kuwa hii ni ofisi ya chadema inajengwa naye ni chiziHiki ndio chama kinachokufa? Kinajenga ofisi zake kote nchini kwa nguvu za Wananchi
View attachment 1896658
Tatizo kubwa la chadema wameaminishwa demokrasia ni vyama kupokezana madaraka badala ya vyama kushinda uchaguzi. Vyama vinashindaje uchaguzi? Jibu ni kwa kua na ushawishi. Chadema wakubali wakatae ccm ni chama bado kina ushawishi mkubwa na wananchi bado wana imani nacho.Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana
1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are
Britanicca
Nmejifunza hapa jf ukiwa na siasa za misimamo mikali kama alshabab utapigwa ban kila sikuMimi huwa situkani bali huwa nawasha moto, ww unapanic unatokana unategemea utatoboa kweli?
Chahali acha Mambo ya ovyo mi Nitumwe na nani??? We ndo unasema kwa mawazo haya huwezi ng’amua nachosema?? Inamaana mtu akiwa na mawazo mbadala katumwa?
I tell you Muda huu Kama LISSU ndo angakuwa ndani Nina uhakika Mbowe angekuwa kashatimba nchini hata Kama angekuwa na kesi gani??
mi simsemi Lissu tu!! Mbona usemi nilivyomsema Lema?
Uchafu wake ni upi?LISSU Mwenyewe si msafi Kama mnavyodhani ni Mchafu tu Kama wachafu wengine! Najiuliza watu wakikosolewa wanadhani umetumwa !!!!! Nashangaa sana sana sana
Hizo ofisi ilitakiwa ziwe zimejengwa miaka 10 nyuma kipindi hicho mnavuna ruzuku ya kutosha kwa mwezi, Sasa account ipo tupu mnaanza kuwasumbua wananchi na mabakuli, na hiyo michango asilimia kubwa inaliwa na viongozi, asilimia ndogo ndiyo inapelekwa kwenye hizo tofaliHiki ndio chama kinachokufa? Kinajenga ofisi zake kote nchini kwa nguvu za Wananchi
View attachment 1896658
Organisation ndani ya Chadema imepungua, Mbowe yuko jela, Lema na Lissu wakiwa kama viongozi ndani ya chama nao hawapo nchini, sasa amebaki KM peke yake mzigo wote unamuelemea, ndio maana ameanza kuonekana hatoshi.
L
Sasa kwa nini mnatumia kodi za watanzania kila siku kupambana na chama ambacho mnajua kiko ICU na wakati wowote kitakufa? Kwanini hizo pesa msizitumie kujenga majengo ya madarasa kule kwenye mikoa ambayo wanasomea chini ya mitiNi siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana
1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious?
2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha kwamba hakuna matumaini yeyote juu ya mipango wanayosema
3. Sasa hivi ndani ya Chama wamegawanyika sana!
4. Lissu anogopa Kwenda Tanzania kuhamasisha mabadiliko on ground anaishia kumtuma bwana Godfrey Rwehumbiza wa Bangkok amuombee msamaha kwa Samia na kufutiwa mashtaka Yaan anajinasua mwenyewe tu!! Huyu Rwehumbiza Ana act kama Balozi wa Tanzania nchini Thailand anakaa Soi 7 Sukhumvit road Thonglou. Japo Tanzania tunapata Visa za Thailand kupitia Kenya ila Rwehumbiza ndio anafanya uwakilishi wa mambo kadhaaa
3. Vijana wa CHADEMA hawana kinachoendelea zaidi ya BAWACHA ndio wanafanya kazi kubwa!!! Wao wenyewe wanazungukana! Walikubaliana woote waliokamatwa Mwanza wasikubali dhamana ila John Pambalu baada ya kutishiwa na mtuhumiwa pale Central kwa kutoa uume wake na kumtisha kwamba njoo tulale akapiga kelele asubuhi Anaomba dhamana !
4. LISSU anabeza sana mawazo ya wengine aliona kwamba yeye mawazo yake ndio alpha na Omega Kuna matatizo
Britanicca
Sidhani kama ww una upeo wa kulijua hili swala zaidi ya mjeruhiwa mwenyewe. Ukimya wa Lisu kuhusu kesi ya mwenyekiti wake, na pia kuonekana kutojali kinachoendelea sio swala la bahati mbaya. Lisu anayajua vizur yaliotokea kwa Chacha Wangwe, Ben saa8 na baadae yeye mwenyew. So mjiandae siku moja kuyasikia yale msioyapenda wala kuyatarajia kutoka kwa Lisu akimchana live aliepanga shambulizi dhidi yake.Swali la msingi,ni nani aliyewaondoa walinzi wa Suma JKT pale area D langoni kuingia makazi ya viongozi ambapo ndipo Lissu aliposhambuliwa?Ukilitafakari hili basi utajua nani alikuwa nyuma ya mchezo!
Naona mmepachika bendera ktk jengo la mtu ambalo halijaisha ili ionekane ni ofisi ya chama. Uzuri wa uongo huwa haufiki mbali. Sasa hivi mtaumbuka na kupoteza hata wale wanachama wadogo ambao bado wanaonekana kuwaamini sasa hivi.Hiki ndio chama kinachokufa? Kinajenga ofisi zake kote nchini kwa nguvu za Wananchi
View attachment 1896658
Unaandika upuuzi usio na kichwa wala miguu!Ni nani aliyeondoa walinzi wanajeshi ambao ni waajiriwa wa serikali pale langoni!Sidhani kama ww una upeo wa kulijua hili swala zaidi ya mjeruhiwa mwenyewe. Ukimya wa Lisu kuhusu kesi ya mwenyekiti wake, na pia kuonekana kutojali kinachoendelea sio swala la bahati mbaya. Lisu anayajua vizur yaliotokea kwa Chacha Wangwe, Ben saa8 na baadae yeye mwenyew. So mjiandae siku moja kuyasikia yale msioyapenda wala kuyatarajia kutoka kwa Lisu akimchana live aliepanga shambulizi dhidi yake.
Kuanzia awamu ya 5, CCM/dola imeshachukua hatua zote kuhakikisha CHADEMA hawatafanya kazi tena kama chama cha siasa. Kiuhalisia, CHADEMA inachukuliwa kama kikundi cha ugaidi. Ajenda kuu ya TISS, polisi, n.k. ni kufuatilia nyendo zote za viongozi na makada muhimu wa CHADEMA na kuwavurugia iwe kisheria au hata nje ya sheria. Wanaoweza kununuliwa wanachomolewa. Wanaoweza kupotezwa (neutralised) wanapotezwa.Organisation ndani ya Chadema imepungua, Mbowe yuko jela, Lema na Lissu wakiwa kama viongozi ndani ya chama nao hawapo nchini, sasa amebaki KM peke yake mzigo wote unamuelemea, ndio maana ameanza kuonekana hatoshi.
Lazima itafutwe namna hawa watu waliokimbia nchi warudi, ama sivyo, wajipange upya;
- Lissu adui yake mkubwa alikuwa ni Magufuli, na ndio alisema alikuwa anatoa maelekezo afanyiwe unyama, now Magufuli is gone, bahati mbaya Samia nae haaminiki, ushauri wa wasaidizi wake anauchukua kama ulivyo.
- Lema alikimbia kesi ya kubambikiwa, Samia akasema hataki watu waonewe tena, baada ya muda mfupi tunamuona Mbowe anabambikiwa kesi, hapa napo Samia haaminiki.
Lissu na Lema wanaweza kuendelea kuwepo nje ya nchi kwa muda mrefu zaidi, Chadema lazima wajipange upya kukabiliana na hali hii inayowakuta.
Kikao cha Samia na upinzani (Chadema ikiwepo) kingemaliza hii hali mapema sana, but Mbowe kuwa gerezani maana yake hicho kikao sidhani kama kitakuwepo tena, na yale majibu ya Samia kwenye interview ya BBC ndio yanakatisha tamaa kabisa.
Chadema sasa watafute njia za kujipanga, video conferencing inaweza kutumika, sio kushinda twitter day and night; wajue namna mpya ya kukabiliana na CCM inayobebwa mgongoni na jeshi la polisi ili kuendana na hali ya kisiasa nchini inayowakuta kwa sasa.
Kwenda makanisani na uniform za chama hiyo strategy sijaipenda, nyumba za ibada ziheshimiwe, CCM wakikosea Chadema wasirudie kosa la CCM, watachafuliwa na tope la CCM mwishowe wafanane na CCM halafu wananchi wakose namna ya kuwatofautisha iwe faida kwa CCM, Chadema wanatakiwa kwenda three steps ahead of CCM kama walivyokuwa wakifanya.
I repeat, organisation is needed ndani ya Chadema, they have to re-group to find new ways and means, Chadema haifi, lakini wasipokuwa makini itadumaa.
Wewe mkuu unaleta mzaha. Tunajua mwendazake alikufa, lakini, kusambaratika? 🤔😳Tena hayo mawazo ya CDM inaenda kufa na kusambaratika alikuwa nayo hata mwendazake cha ajabu yeye kafa na kusambaratika CDM bado ipo.
Mleta mada angalia nawe usije kufa na kusambaratika dushe au mbususu yako ukaiacha CDM na watu wake.
Hayo mawazo yako sio ya kwanza kusomwa humu jukwaani.
Itaendelea mkishamalizana na Askofu Rashidi Gwajima.Hujui chochote dada!
Vipi zoezi lenu la bawacha kuwatoa kina Mdee bungeni lilifanikiwa au mmemuachia Mungu?