Naiona hatari huko mbele uteuzi wa wanajeshi walio kazini kushika nyadhifa za kisiasa

Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.
5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

Nawasilisha kwa ufupi
Mkuu wa usalama kwa mikoa au Wilaya zinazopakana na Rwanda, Burundi, DRC na Uganda lazima wawe wanajeshi au Askari
 
Wewe ni mpinzani wa aina gani usiyetaka CCM iondolewe madarakani?

Hujasikia wapinzani wakisema, wao wako tayari hata kuungana na shetani ili tu CCM iondolewe madarakani!

Iondolewe na wanajeshi? Je hao wanajeshi wataungana na wapinzani kuwatoa ccm? Huyo jamaa ameongea jambo kubwa, ambalo mimi nililiona rasmi siku Magufuli anapokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi Arusha mbele ya CDF. Toka siku ile nilijua haya yanayotokea lazima yatokee. Ww umeongea kwa kebehi ili kupoteza hoja ya msingi ya mleta hoja, ila kuna hatari ya wazi kwenye tabia binafsi za rais, na anachokifanya kwenye uongozi wa nchi hii, hasa ukizingatia katiba inataka nini. Tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.
 
Mtori huu una maharage na njugu mawe
 
Hama nchi uondoke kama una hasira, hulazimishwi kuwepo,kuna wenzio wako huko nje wananyenyekea kwa washenzi..ondoka na wewe
Amesikika ms**nge mmoja kutoka Lumumba baada ya kulewa mataputapu
 
Kweni hao CCM mnaowasema siyo waTanzania? mnadhani kuna atakaye kwenda Ikulu akawa malaika?hakuna mtu atakubaliwa na watu wote isipokua mwenye kujitahidi kupambania wananchi anaonekana,mitume wenyewe walikataliwa leo binadamu.

Umeivaa hii mada kichwakichwa kwa mihemko ili kupotosha na kutetea udhaifu wa wazi. Ni hivi, ni hatari kuingiza jeshi kwenye nafasi za kisiasa, kwani jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa. Kama hakuna malaika ikulu, unapata wapi ujasiri wa kupotosha mada inayotoa tahadhari kwa udhaifu wa wazi?
 
Sa what? ulitaka upewe wewe ndo ungeweza? Mnasema watu ilihali hapo mlipo yamkini hata ubalozi wa nyumba 10 hamuwezi...kila mtu na talanta yake na muache wivu

Mpaka Magufuli kuwa rais alianzia kwenye ubalozi wa nyumba kumi? Unajua kwanini unatumia nguvu kubwa na mifano irrelevant? Ni kwakuwa hii hoja ina nguvu kuliko utetezi wako.
 
Hama nchi toka uende pumbavu

Sikutarajia hitimisho tofauti na hili toka kwako. Sio kila hoja ni ya kupamia kwa mihemko ya siasa za uzalendo uchwara. Ona sasa umeivaa hoja ya kweli, isiyohitaji nguvu na mihemko ya siasa za kishenzi, saa hii umebaki kuanika ujuha wako, na jazba za kishamba.
 
Unadhani usemacho ndo kiko sahihi zaidi kuliko maoni mengine?maana unazungumza kana kwamba unajua kula kitu,huoni kua unaweza kua kipofu na una ukichaa kichwani isipokua hujapimwa tu kwa hivyo huwezi jijua
Umeivaa hii mada kichwakichwa kwa mihemko ili kupotosha na kutetea udhaifu wa wazi. Ni hivi, ni hatari kuingiza jeshi kwenye nafasi za kisiasa, kwani jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa. Kama hakuna malaika ikulu, unapata wapi ujasiri wa kupotosha mada inayotoa tahadhari kwa udhaifu wa wazi?
 
Sikutarajia hitimisho tofauti na hili toka kwako. Sio kila hoja ni ya kupamia kwa mihemko ya siasa za uzalendo uchwara. Ona sasa umeivaa hoja ya kweli, isiyohitaji nguvu na mihemko ya siasa za kishenzi, saa hii umebaki kuanika ujuha wako, na jazba za kishamba.
Pumbavu...wewe hapo juu ulisema nini?uko kama Nyani asiyeona kundule
 
Unadhani usemacho ndo kiko sahihi zaidi kuliko maoni mengine?maana unazungumza kana kwamba unajua kula kitu,huoni kua unaweza kua kipofu na una ukichaa kichwani isipokua hujapimwa tu kwa hivyo huwezi jijua

Ni hivi, kikatiba jeshi limetengwa kabisa na siasa, na angalizo la mleta mada liko wazi kuwa nafasi za kiraia, ni vyema zikabaki kwa raia na sio wanajeshi kutoka na katiba inavyotaka. Ni angalizo sahihi, ila ww umeivamia mada iliyo nje ya uwezo wako ndio maana umegeuka juha, hadi unaishia kutoa mifano isiyo na mahusiano yoyote na mada iliyo mezani.
 
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.

5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

Nawasilisha kwa ufupi
Weka kipengere cha katiba kinachokataza...
 
Ni hivi, kikatiba jeshi limetengwa kabisa na siasa, na angalizo la mleta mada liko wazi kuwa nafasi za kiraia, ni vyema zikabaki kwa raia na sio wanajeshi kutoka na katiba inavyotaka. Ni angalizo sahihi, ila ww umeivamia mada iliyo nje ya uwezo wako ndio maana umegeuka juha, hadi unaishia kutoa mifano isiyo na mahusiano yoyote na mada iliyo mezani.
Weka kipengere cha katiba kinachosema kumteua mwanajeshi aliye madarakani kushika nyadhfa hizi ninukiukwaji...
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.

5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

Nawasilisha kwa ufupi
angalau wajua kuwa jpm anashinda tena. Heko kwa kutumia common sense...
 
Pumbavu...wewe hapo juu ulisema nini?uko kama Nyani asiyeona kundule

Utapanic sana, usiwe unazivaa baadhi ya mada kichwa kichwa, utaishia kutaka kuchekesha vinyago. Viherehere wenzako wamekaa mbali maana wameona maji mazito.
 
Weka kipengere cha katiba kinachosema kumteua mwanajeshi aliye madarakani kushika nyadhfa hizi ninukiukwaji...

angalau wajua kuwa jpm anashinda tena. Heko kwa kutumia common sense...

Ni hivi, jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa, nafasi za kiraia zinapaswa kubaki kwa raia ili kutokulitega jeshi na nafasi za kiraia. Hili linahitaji common sense tu. Kinachofanyika hivi sasa ni udhaifu binafsi wa rais kwenye mambo haya.
 
Haya mambo ya uteuzi ni baadhi ya vitu vya hovyo vinavyofanywa na huyu mungu wa kangi lugola huwez kuchukua askali aliyekazini na kumpa nafasi yenye sura ya siasa,kipindi cha mwl wakuu wa mikoa wanajeshi walioteuliwa walikua ni wastaafu na hiyo ilifanyika kama HONGO ili nchi zenye nia mbaya na sisi wasiwalaghai na kuwachukua maana wangeweza kuuza ramani ya vita
 
Ni hivi, jeshi limetengwa kabisa kikatiba na siasa, nafasi za kiraia zinapaswa kubaki kwa raia ili kutokulitega jeshi na nafasi za kiraia. Hili linahitaji common sense tu. Kinachofanyika hivi sasa ni udhaifu binafsi wa rais kwenye mambo haya.
Kwa common sense hiyo hiyo kama hamna kipengere ktk katiba strictly kusema hawaruhusiwi basi kwa common sense maana yake wanaruhusiwa. Kwenye sheria kama YES imeandikwa haikubaliki basi NO inakubalika ingawa haijaandikwa.
 
Wewe ni mpinzani wa aina gani usiyetaka CCM iondolewe madarakani?

Hujasikia wapinzani wakisema, wao wako tayari hata kuungana na shetani ili tu CCM iondolewe madarakani!

Shetani anaishi mafichoni na ahela sasa waende huko wakaungane nae ili neno la mungu liendelee kuwa fukuzia mbali.
 
Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia.

1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja kwenye sheria , then rais kama amiri jeshi mkuu.

2. Ila bahati mbaya kwetu imegeuzwa anatangulia rais then sheria na ya mwisho katiba.

3. Liko wazi awamu ya tano kama wewe huna kadi ya CCM huwezi kuteuliwa nyadhifa yoyoyte ya kisiasa inayoambatana na uteuzi.

4. Toka enzi ya mwalimu wakuu wa mikoa hasa wa mipakani aliteuwa wastaafu kushika nyadhifa hizo alijua kuwa walishaondoka jeshini na nafsi zao zinawatu wengine.

Cha ajabu awamu hii inawatoa askati jeshini inawapa nafasi za kisiasa hii ni hatari sana kuchanganya jeshi na utawala wa kiraia hasa kwa baadae hii tabia ikiendelea.

5. Hawa wanajeshi wakizoea hili na ili wajihakikishie kupata uteuzi na wao kwa kiasi kikubwa ndio wamepewa mamlaka ya haki na usalama nchini watafanya yote kumfurahusha mteuzi sio kufata sheria na katiba.

Mwisho wa siku watataka wakae wao na hakuna wa kuwazuia naiyona nchi inaelekea kutawaliwa na jeshi na sio kuongozwa na raia.

Nawasilisha kwa ufupi
NDUGU YANGU, MIFUMO YOTE YA UTAWALA BORA IMEVURUGWA. KUMBUKA KAULI HII "TUTAENDELEA KUTUMIA DOLA KUBAKI MADARAKANI" (BASHIRU ALLY, KATIBU MKUU WA CCM)
 
Back
Top Bottom