Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana.
Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na Afrika miaka 200 iliyopita.
Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za misuguank hazina faida yoyote kwa Mama tanzania.
Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia na Mwenyezi Mungu ambariki sana na kumwezesha.
CCM, CHADEMA na ACT tujipange kwa mabadiliko haya chanya
Misuguano, ghilba na uhasama vunawadaidisha watu wachache wenye ubinafsi badala ya Taifa.
Sisi vijana wa Tanzania tuko tayari kuwa chachu ya mabadiliko kisera, kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Kwaresma njema.