- Thread starter
- #21
Bado tuna imani na Rais Samia. Hatujaona kitu cha kukatisha tamaa saana kivileAlways Live on the present moment 🙌🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tuna imani na Rais Samia. Hatujaona kitu cha kukatisha tamaa saana kivileAlways Live on the present moment 🙌🏾
Haya nayo ni maoniACHA kudanganya mkuu!!Mama hana ushawishi wowote wa kisiasa anaongozwa tu hana idea kabisa na hakujiandaa kuwa Raisi!!hata hivyo amechelewa Sana kufanya yale maagizo ya the state Baada ya kuapishwa !!alishaanza kuingia kiburi cha msoga !!nadhani kapata tishio toka KWA wenye nchi ndio maana anatafuta maridhiano!!Trust me kesha tambua hatogombea 2025!!Na lazima katiba ipatikane kabla ya 2025 siyo kwa matakwa yake bali ya kusukumwa na wenye nchi!!kwani katiba iliyopo ingemfeva Sana hapo 2025!!kifupi kaamua kutema ndoano kistaarabu!!!
Naunga mkono hojaSasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za misuguank hazina faida yoyote kwa Mama tanzania.
Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia na Mwenyezi Mungu ambariki sana na kumwezesha.
Vijana wengi bado wana wasi wasi na Mh Rais hasa wale wa ccm na wachache wa Upinzani.Naunga mkono hoja
P
Ni maoni coz maridhiano yalizaa kikosi kazi cha mkandala na Lisu akalipwa stahiki zake!!Haya nayo ni maoni
TANZANIA mpya itapatikana Baada ya katiba kupatikana"!Naunga mkono hoja
P
Tuendelee kuliombe taifa mambo ya ende vizuriUkisoma Bandiko la Tumia akili "operation Imesitishwa the state wamesema apewe Muda"utaona aliagizwa afanye maridhiano na wapinzani na kweli Ndio maana amewaita ikulu,Mbowe akatolewa gerezani na pia Chama (ccm)kikatangaza kuanza KWA mchakato wa katiba mpya na sasa wapinzani wamekaa kimya coz matakwa yao kuhusu mchakato wa katiba yanaendelea kwa hiyo tusubiri!
Yes, tuna very narrow opportunity kwa sasa ikitutoka hiyo ndio basi tenaNi kujipa faraja ya muda tu,kwani akiondoka bila kuwepo KWA machinery ya ku balance power akaja mwingine ambaye hana sifa kama hizo Hapo!Tumekwisha kabisa na wa chuya tutauona!!!
Hapa nakubaliana na wewe maana anything can happen!. Mfano ni mimi nilishauri Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! lakini nikaja kuisikia sauti hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!TANZANIA mpya itapatikana Baada ya katiba kupatikana"!
Kuendelea kutegemea hisani,Roho NZURI ya mshika hatamu,uelewa Wake,malezi yake mazuri ya utotoni na n.k!
Ni kujipa faraja ya muda tu,kwani akiondoka bila kuwepo KWA machinery ya ku balance power akaja mwingine ambaye hana sifa kama hizo Hapo!Tumekwisha kabisa na wa chuya tutauona!!!
Naunga mkono hojaNDIO Maana wenye Akili wanasema haya;-
"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"