Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia ni ya kuigwa. Vijana tujiandae kwa mabadiliko

Haya nayo ni maoni
 
Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za misuguank hazina faida yoyote kwa Mama tanzania.

Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia na Mwenyezi Mungu ambariki sana na kumwezesha.
Naunga mkono hoja
P
 
Haya nayo ni maoni
Ni maoni coz maridhiano yalizaa kikosi kazi cha mkandala na Lisu akalipwa stahiki zake!!

Ukisoma Bandiko la Tumia akili "operation Imesitishwa the state wamesema apewe Muda"utaona aliagizwa afanye maridhiano na wapinzani na kweli Ndio maana amewaita ikulu,Mbowe akatolewa gerezani na pia Chama (ccm)kikatangaza kuanza KWA mchakato wa katiba mpya na sasa wapinzani wamekaa kimya coz matakwa yao kuhusu mchakato wa katiba yanaendelea kwa hiyo tusubiri!

"Siku tisini halafu nyingine mia themanini tayari" hiyo ni Baada ya ile ya kustaafu"! Maana yake kuna time frem ya katiba kupatikana Tumia akili anaaandika kwenye uzi Wake wa "kitabu kilichoandikwa Kisha kikaachwa kitamaliziwa KWA hesabu Hii"

KWA hiyo ukimya wa wapinzani Baada ya maridhiano ni Baada ya kuutambua time frame ya muda wa katiba kukamilika!!

Tuendelee kusubiri!!

Kinachokosekana Hadi Sasa ni hiki hapa;-

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Naunga mkono hoja
P
TANZANIA mpya itapatikana Baada ya katiba kupatikana"!

Kuendelea kutegemea hisani,Roho NZURI ya mshika hatamu,uelewa Wake,malezi yake mazuri ya utotoni na n.k!

Ni kujipa faraja ya muda tu,kwani akiondoka bila kuwepo KWA machinery ya ku balance power akaja mwingine ambaye hana sifa kama hizo Hapo!Tumekwisha kabisa na wa chuya tutauona!!!

NDIO Maana wenye Akili wanasema haya;-

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"
 
Tuendelee kuliombe taifa mambo ya ende vizuri
 
Hapa nakubaliana na wewe maana anything can happen!. Mfano ni mimi nilishauri Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! lakini nikaja kuisikia sauti hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!
NDIO Maana wenye Akili wanasema haya;-

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"
Naunga mkono hoja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…