Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

Kenge maji mwenyewe, Sawa nitaenda hospital bloh
Hiv mnachukulia mzaha mzaha sana suala la afya eti??
Mimi nilishawahi kupata hiyo hali yako, tena kwa mara ya kwanza tuu nilipokojoa nikahisi maumivu, ilikua saa 6 usiku ni fasta nilitafuta hospitali iko wapi!!..sikusubiri mara ya pili wala asubuh kukuche
Niko serious sana na intrussion ya hali za ajab ajab mwilini mwangu.
Nakushangaa wewe unayetaka kuokoteza ushauri wa dawa za kutumia mtandaoni
 
Back
Top Bottom