Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

Aliwatoza shilingi ngapi?

Si busara kumzushia mtu uongo hata kama humpendi.

Mchukie kwa ayafanyayo si kwa yale utakayo ayafanye ili umchukie.

Mwenyezimungu anakuona wewe na kizazi chako.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Yaani Mungu asimlaani aliyeshiriki kuua watu amlaani mtu anayeleta utani tu mitandaoni?
 
Ubarikiwe sana Brother, Hivi ni kweli watanzania tunabarikiwa kwa namna tunavyoitwa vilaza kwa kukataa kuishi ukweli wa kidunia kisa kukidhi haja ya internal colonialism/ Self-imposed colonialism?

Utopolo everywhere and we are proud to mute elites.
 
Polepole tatizo lake ni tamaa ya uongozi, hakuna kingine, pia mnafiki sanaa Polepole.

Enzi za JPM watu walikandamizwa sana kwa kila sekta ya uongozi hasa wa kisiasa, sekta ya habari, watumishi wa umma na wafanya biashara, yeye Polepole na shule yake ya uongozi alikuwa wapi? Wakati huo alikuwa akishangilia na kula vinono, alikuwa haoni vile, huyu ni mtu wa tamaa, TCRA safiii kabisa.
 
Kiukweli sipendi sana mtu yeyote anayemsumbua mama katika kufanya kazi ya nchi safi watenda kazi hii ni nchi yetu kizazi adi kizazi
 
Kabisa
 
Polepole hawezi kupata political mileage yoyote kwasasa,atulie tu zamu yake kunyolewa ! katetea maovu mengi awamu ya 5 eti leo kuwekwa pembeni ndo anaingia kwenye political entrepreneurship lol
Nadhani katika vyote ni kuwa Polepole hana tena ushawishi kama anavyodhani. Haaminiki tena. He lost public trust long time ago.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM inanuka rushwa, aliwahi kuwaita Kolimba na Malechela wahuni.
Alifanywa Nini?
Polepole hana kosa waliomtia hatiani wanatetea ugali.
 
Aliwatoza shilingi ngapi?

Si busara kumzushia mtu uongo hata kama humpendi.

Mchukie kwa ayafanyayo si kwa yale utakayo ayafanye ili umchukie.

Mwenyezimungu anakuona wewe na kizazi chako.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Mwenyezi Mungu bado anashughulika na kizazi cha waliobatilisha uchaguzi 2020.
 
Polepole hawezi kupata political mileage yoyote kwasasa,atulie tu zamu yake kunyolewa ! katetea maovu mengi awamu ya 5 eti leo kuwekwa pembeni ndo anaingia kwenye political entrepreneurship lol
Amewekwaje pembeni mkuu? Amevuliwa Ubunge?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Naona P.wa zamani aliyemuuliza JPM swali gumu amefufuka.
 
Mkuu umeandika vizuri sana. Na nimefurahi kwamba umeonyesha kuwa hata wewe ulikuwa unakerwa na kichaa yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…