Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
model ya viti vyenu kwanza ni ya short distance travel!Unawezaje kulinganisha hivyo viti vyenu vibovu na vyetu kutoka Spain? Wewe wacha mchezo. Leta ligi kwenye vitu vingine lakini sio kwenye DMU hata kama yetu ni second hand. Wewe unajua second hand mercedes benz inauzwa bei ghali hata kushinda models fulani ya toyota mpya?
Onesha sehemu mnaikaribia hapa japo ni northern Britain, unaleta ujuaji apa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]HAHAHA, wewe piga kelele unaweza. Northern britain miundo mbinu ni duni kuliko london. Wapi london umeskia kuna brt. London wako na the london tube ambayo ni commuter rail. Hiyo brt ni ya sehemu miundo mbinu ni duni na mbovu.
Onesha sehemu Tz imewekwa group la ldc nitoke Jf [emoji3][emoji3][emoji3]Alafu basi zenyewe ni kama ni kufuga ndiyo wanafuga kunguni na chawa. Hawa watu wako nyuma sana kimaendeleo ndiyo sababu IMF an world bank bado inawaeka katika LDC.
Nimekuambia hv hakuna infrastructure mnayo cc tukakosa ila cc tuna infrastructure ambazo ninyi hamna [emoji3][emoji3][emoji3]Video hii hapa chini jionee testing ya commuter rail. Kitu safi si kufinyana kama nzige. Hii Tanzania mtangoja sana. Tz ingoje miaka kama 20 ndiyo muanze kufikiria vitu kama hizi.
have you checked the video very well?Hizi ni tofauti na zenyu angalia model! zenyu zimeonekana zime-park!
Mji wowote duniani ambao hauna electric railways system basi huo mji ni stone age city, ona jinc tulivyo modernized, mtasubiri 2100 ndo mfike hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watanzania muone jinsi watu wanafaa kusafiri katika global city. BRT hiyo ni ya miji ambayo bado haijastawi. Mji kama Dar, mombasa inaipiga teke kwa miundo mbinu, itawezana na Nairobi? Nairobi ni global city, dar ni city tu.
View attachment 1612982
Mko na expressway? Mko na superhighway? mko na floating bridge?Nimekuambia hv hakuna infrastructure mnayo cc tukakosa ila cc tuna infrastructure ambazo ninyi hamna [emoji3][emoji3][emoji3]
Weka picha nikukomeshe ukawahadithie wenzako [emoji3][emoji3][emoji3]Mko na expressway? Mko na superhighway? mko na floating bridge?
Umekosa picha au co[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mko na expressway? Mko na superhighway? mko na floating bridge?
Maamaee atokeze mkenya hapa abishane na mm kuhusu infrastructure af aone ninavyomuaibisha[emo
picha yya nini ilhali unajua hizi infructure zinajengwa..kubali tu tz hakuna expressway,super highway na floating brigde na sioni kama mko na plan kujengaWeka picha nikukomeshe ukawahadithie wenzako [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye bridge ndo usiguse kabisa utaumia we pimbi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]picha yya nini ilhali unajua hizi infructure zinajengwa..kubali tu tz hakuna expressway,super highway na floating brigde na sioni kama mko na plan kujenga
boss nimesema FLOATING BRIDGE mko na nayo?...Kwenye bridge ndo usiguse kabisa utaumia we pimbi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie mnayo iko wapi [emoji3][emoji3]boss nimesema FLOATING BRIDGE mko na nayo?...
subiri by november utaiona ilhali sai bado yajengwa..Nyie mnayo iko wapi [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]subiri by november utaiona ilhali sai bado yajengwa..
Angalia cost ya hz bridges mbili ambazo kwa East and Central of Africa zinapatikana Tz tu pekee zen fananisha na hyo Likoni bridge cost ambapo hata hivyo haipo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]subiri by november utaiona ilhali sai bado yajengwa..