Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Unawezaje kulinganisha hivyo viti vyenu vibovu na vyetu kutoka Spain? Wewe wacha mchezo. Leta ligi kwenye vitu vingine lakini sio kwenye DMU hata kama yetu ni second hand. Wewe unajua second hand mercedes benz inauzwa bei ghali hata kushinda models fulani ya toyota mpya?
model ya viti vyenu kwanza ni ya short distance travel!
 
HAHAHA, wewe piga kelele unaweza. Northern britain miundo mbinu ni duni kuliko london. Wapi london umeskia kuna brt. London wako na the london tube ambayo ni commuter rail. Hiyo brt ni ya sehemu miundo mbinu ni duni na mbovu.
Onesha sehemu mnaikaribia hapa japo ni northern Britain, unaleta ujuaji apa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-26-12-30-18.jpeg
 
Alafu basi zenyewe ni kama ni kufuga ndiyo wanafuga kunguni na chawa. Hawa watu wako nyuma sana kimaendeleo ndiyo sababu IMF an world bank bado inawaeka katika LDC.
Onesha sehemu Tz imewekwa group la ldc nitoke Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Video hii hapa chini jionee testing ya commuter rail. Kitu safi si kufinyana kama nzige. Hii Tanzania mtangoja sana. Tz ingoje miaka kama 20 ndiyo muanze kufikiria vitu kama hizi.

Nimekuambia hv hakuna infrastructure mnayo cc tukakosa ila cc tuna infrastructure ambazo ninyi hamna [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watanzania muone jinsi watu wanafaa kusafiri katika global city. BRT hiyo ni ya miji ambayo bado haijastawi. Mji kama Dar, mombasa inaipiga teke kwa miundo mbinu, itawezana na Nairobi? Nairobi ni global city, dar ni city tu.
View attachment 1612982
Mji wowote duniani ambao hauna electric railways system basi huo mji ni stone age city, ona jinc tulivyo modernized, mtasubiri 2100 ndo mfike hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1602839517811.jpeg
 
Tanzania bhn noma sana yn najisikia fahari sn kuwa mTz nchi yenye kila kitu, now imedhihirika kwamba kenya ni watoto wa Tz, tuna vitu vingi na infrastructure nyingi za kushangaza sema cc huwa hatuongei ongei but cku hz tunaongea ili kuwashikisha adabu nyie watoto wetu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maamaee atokeze mkenya hapa abishane na mm kuhusu infrastructure af aone ninavyomuaibisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Au ngj nikusaidie, weka picha ya kitu chochote af twende kazi nataka nikufundishe kitu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
picha yya nini ilhali unajua hizi infructure zinajengwa..kubali tu tz hakuna expressway,super highway na floating brigde na sioni kama mko na plan kujenga
Kwenye bridge ndo usiguse kabisa utaumia we pimbi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
subiri by november utaiona ilhali sai bado yajengwa..

Angalia cost ya hz bridges mbili ambazo kwa East and Central of Africa zinapatikana Tz tu pekee zen fananisha na hyo Likoni bridge cost ambapo hata hivyo haipo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-26-22-54-23.jpeg
Screenshot_2020-10-26-22-55-45.jpeg
 
Humu ndani nipo mTz kutoka nchi inayowazidi mambo mengi so ntawagalagaza mpk pale nitakapoona inatosha zen nalala na hakuna mkenya yyte atakae nisumbua cz nchi yng ni gifted na ina kila kitu kuzishinda hivi vinchi vidogo vidogo mfano kenya, atokee mkenya hapa anipe view km hii kenya nzima zen naondoka Jf rasmi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1603257613940.jpeg
 
Back
Top Bottom