The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nilitaka nikuite ila bora umekuja mkuu kuna mtu apo juu anaongelea majengo nikaona hii mada yako hii na ulishawahi kumpiga mtu kipigo cha mbwa koko kule kwenye thread yetu pendwa [emoji3][emoji3]yani unaongea bila aibu kabisa bro[emoji23][emoji23]
Yn umeumia sn nafurahi kuona unalia kwa uchungu hapo ss adabu imekufika, Marekani, China na Brazil wanazo zote yn ya umeme na diesel km cc pia hawanunui mitumba wale[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]marekani, china, brazi bado wako na diesel mingi na uchumi yao inawashinda nyinyi mara billioni.
Diesel ya kenya inabeba mizigo na abiria wengi kushinda electric yenyu ambayo imesalia kuwa ndoto za vijiwenyu.
Hii treni inaonekana kabisa imepigwa rangi juzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Sindio. They changed paint to kenya railways reverie. Of course ypur low Iq cannot comprehend that .Hii treni inaonekana kabisa imepigwa rangi juzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Huo mtumba tangu upo Spain ulikuwa na rangi hzo hzo ila zilikuwa hazing'ai but now mmekoleza rangi ili kuficha uchakavu, kwn we hujui km hiyo ni ya zamani?[emoji3][emoji3][emoji3]Sindio. They changed paint to kenya railways reverie. Of course ypur low Iq cannot comprehend that .
ni demu gani tena huyo anaongelea majengo???😀😀😀Nilitaka nikuite ila bora umekuja mkuu kuna mtu apo juu anaongelea majengo nikaona hii mada yako hii na ulishawahi kumpiga mtu kipigo cha mbwa koko kule kwenye thread yetu pendwa [emoji3][emoji3]
refubrished kumbuka 😁😁😁 usijipe sana matumainiSindio. They changed paint to kenya railways reverie. Of course ypur low Iq cannot comprehend that .
Nani amekataa ni refurbished. Wabongo ni wajinga . Low iq arguments.refubrished kumbuka [emoji16][emoji16][emoji16] usijipe sana matumaini
So you wanted the Spanish reverie to operate in kenya . Wewe una akili ama ni uji. Low iq ujamaa moron .Huo mtumba tangu upo Spain ulikuwa na rangi hzo hzo ila zilikuwa hazing'ai but now mmekoleza rangi ili kuficha uchakavu, kwn we hujui km hiyo ni ya zamani?[emoji3][emoji3][emoji3]
Kairudisha hii mada [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]ni demu gani tena huyo anaongelea majengo???[emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie Tanzania nzima mna mradi kama huu yaani majengo sita marefu yanayojengwa kwa mpigo? Jengo fupi hapo lina mita takriban mia moja na ndefu zaidi ina mita takriban 180. Hii inaitwa Global Trading centre. Nionyeshe cluster kama hii hapo TZ
View attachment 1613178
Hio ya juu ni render. Nionyeshe mradi kama huu hapo TZ. Afrika nzima sidhani kama kuna nchi inayojenga cluster ya majengo sita katika project moja.
Progress ndio hii hapa
View attachment 1613188
sio habari ya kua na low iq, yani sijaelewa nn munasherekea hapaNani amekataa ni refurbished. Wabongo ni wajinga . Low iq arguments.
ungemuuliza yanajengwa na nani??? manake hayo majengo ni ya mchina ameekez hapo ila wao kama wao hawana uwezo huo na hawatakua nao😂😂😂Kairudisha hii mada [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah kweli umeumia mpk mda wote unatukana, relax kwnz kdg [emoji3][emoji3][emoji3]So you wanted the Spanish reverie to operate in kenya . Wewe una akili ama ni uji. Low iq ujamaa moron .
Ni sawa sawa na demu aliyegawa sana kwenye mtaa fulani halafu akawa anajulikana sana watu wakamzoea wakawa hawamshobokei tena halafu huyo demu akahamia mtaa mwingine watu wa mtaa huo wakawa wanamshobokea sana kumbe kule alikotoka alishaonekana wa kawaida sana [emoji23][emoji23][emoji23]Huo mtumba tangu upo Spain ulikuwa na rangi hzo hzo ila zilikuwa hazing'ai but now mmekoleza rangi ili kuficha uchakavu, kwn we hujui km hiyo ni ya zamani?[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Ni sawa sawa na demu aliyegawa sana kwenye mtaa fulani halafu akawa anajulikana sana watu wakamzoea wakawa hawamshobokei tena halafu huyo demu akahamia mtaa mwingine watu wa mtaa huo wakawa wanamshobokea sana kumbe kule alikotoka alishaonekana wa kawaida sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama demu anakotoka ni Europe basi hakuna shida.Ni sawa sawa na demu aliyegawa sana kwenye mtaa fulani halafu akawa anajulikana sana watu wakamzoea wakawa hawamshobokei tena halafu huyo demu akahamia mtaa mwingine watu wa mtaa huo wakawa wanamshobokea sana kumbe kule alikotoka alishaonekana wa kawaida sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau commuter railMko na expressway? Mko na superhighway? mko na floating bridge?
Hiki kitu kinawatoa wabongo mapomvu sana
Commuter rail ipo miaka mingi na ni functional ndo mana wenzako hawakukujibu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Umesahau commuter rail