Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

yani unaongea bila aibu kabisa bro[emoji23][emoji23]
Nilitaka nikuite ila bora umekuja mkuu kuna mtu apo juu anaongelea majengo nikaona hii mada yako hii na ulishawahi kumpiga mtu kipigo cha mbwa koko kule kwenye thread yetu pendwa [emoji3][emoji3]
 
marekani, china, brazi bado wako na diesel mingi na uchumi yao inawashinda nyinyi mara billioni.
Diesel ya kenya inabeba mizigo na abiria wengi kushinda electric yenyu ambayo imesalia kuwa ndoto za vijiwenyu.
Yn umeumia sn nafurahi kuona unalia kwa uchungu hapo ss adabu imekufika, Marekani, China na Brazil wanazo zote yn ya umeme na diesel km cc pia hawanunui mitumba wale[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sindio. They changed paint to kenya railways reverie. Of course ypur low Iq cannot comprehend that .
Huo mtumba tangu upo Spain ulikuwa na rangi hzo hzo ila zilikuwa hazing'ai but now mmekoleza rangi ili kuficha uchakavu, kwn we hujui km hiyo ni ya zamani?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilitaka nikuite ila bora umekuja mkuu kuna mtu apo juu anaongelea majengo nikaona hii mada yako hii na ulishawahi kumpiga mtu kipigo cha mbwa koko kule kwenye thread yetu pendwa [emoji3][emoji3]
ni demu gani tena huyo anaongelea majengo???😀😀😀
 
Huo mtumba tangu upo Spain ulikuwa na rangi hzo hzo ila zilikuwa hazing'ai but now mmekoleza rangi ili kuficha uchakavu, kwn we hujui km hiyo ni ya zamani?[emoji3][emoji3][emoji3]
So you wanted the Spanish reverie to operate in kenya . Wewe una akili ama ni uji. Low iq ujamaa moron .
 
ni demu gani tena huyo anaongelea majengo???[emoji3][emoji3][emoji3]
Kairudisha hii mada [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie Tanzania nzima mna mradi kama huu yaani majengo sita marefu yanayojengwa kwa mpigo? Jengo fupi hapo lina mita takriban mia moja na ndefu zaidi ina mita takriban 180. Hii inaitwa Global Trading centre. Nionyeshe cluster kama hii hapo TZ

View attachment 1613178
Hio ya juu ni render. Nionyeshe mradi kama huu hapo TZ. Afrika nzima sidhani kama kuna nchi inayojenga cluster ya majengo sita katika project moja.
Progress ndio hii hapa
View attachment 1613188
 
Huo mtumba tangu upo Spain ulikuwa na rangi hzo hzo ila zilikuwa hazing'ai but now mmekoleza rangi ili kuficha uchakavu, kwn we hujui km hiyo ni ya zamani?[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni sawa sawa na demu aliyegawa sana kwenye mtaa fulani halafu akawa anajulikana sana watu wakamzoea wakawa hawamshobokei tena halafu huyo demu akahamia mtaa mwingine watu wa mtaa huo wakawa wanamshobokea sana kumbe kule alikotoka alishaonekana wa kawaida sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama demu anakotoka ni Europe basi hakuna shida.
 
Umesahau commuter rail
Commuter rail ipo miaka mingi na ni functional ndo mana wenzako hawakukujibu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1603293900906.jpeg
 
Back
Top Bottom