Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

tupo phase 3, what's phase 2 about? 🤔
Wacha uongo hii ni kawaida yenu kudanganya hata kwa vitu mtu anaweza pata kwa urahisi.

Tanzania BRT iko na line moja pekee ile ya 21 km. Phase 2 haijakamilika lakini kawaida yenu munaruka kuenda phase ingine na 2 hamjamaliza.
Tena kwa mkopo ya world bank na Afdb.
Kazi ya kujenga ilikuwa ianze mwaka jana lakini bado kawaida ya watu wavivu mpaka sahi bado haijakamilika.

http://documents1.worldbank.org/cur...19/ICR-P103633-2017-12-05-18-08-12062017.docx

Ndiyo hii hapa report ya world bank kuhusu hiyo BRT yenu.
 
Ulifikiri hizo handles kazi yake ni kuning'inizia mikungu ya ndizi? 😁😁😁

Kazi yake ndio hiyo sasa
View attachment 1580861View attachment 1580862View attachment 1580863View attachment 1580864
Wewe huoni jinsi watu wamesimama kwa utaratibu siyo hiyo yenu ya kufurika kama panya. Unaona jinsi watu wenye ustaarabu wanaweza kutumia hata simu ya rununu wakiwa wamesimama. Hiyo yenu nani anaweza kufanya hivyo? Yani mumejazana kama siafu kwa basi moja, alafu kunguni na chawa ziko hapo ndani.
 

wewe ni mjinga jamaa yangu[emoji23][emoji23][emoji23]

hizo basi zimetengezwa kwa mfumo huo,hujui sababu hizo vitu hazikai nairobi miak 1000 ijayo.
 

Weka picha sasa tuone zikiwa zinashushwa hapo port ya mombasa...na huko workshops zikiwa zinapigwa hiyo rangi ya mkono mmoja hatuwezi kupata picha?... au hii picha hapo umeitoa wapi?
 
Bado umeleta trains[emoji23][emoji23]
Tena asia bana, siku utalsta mabasi kutoka europe au marekani watu wamefurika km zile zenu natoka jf...
Yani unabanwa hata nafasi ya kutoa simu huna, mwendo wa kikwapa tu
Aina hiyo ya kukaa ni kawaida kwa any commuter transportation haijalishi ni train au bus na ndio maana zipo handles za kushika kwa wale watakaosimama na utaratibu upo hivyo sababu ni kutokana ni fast commuter with short distances ndio maana huwezi kuona watu wamesimama hivyo au mabasi yenye handles yanayoenda mikoani.

Punguza ushamba
 
Haijalishi kama wamesimama kama parade au wamesimama zigzag, point ni kwamba wote wamesimama na ni kitu cha kawaida kwa commuters kufanya hivyo kwenye miji iliyoendelea period
 
The american government is rumoured to be behind this new found interest by the world bank into Kenya's infrastructure space.

The world bank is also bankrolling the recent rise in construction of modern markets all across the country. The markets come fully equipped with road networks, cold storage facilities, loading bays and the operations will be based on Barbes market in paris.
 

So you mean kunyaland can`t do all this on it`s own unless you get support from your masters..right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…