Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
- Thread starter
- #61
tupo phase 3, what's phase 2 about? 🤔
Wacha uongo hii ni kawaida yenu kudanganya hata kwa vitu mtu anaweza pata kwa urahisi.
Tanzania BRT iko na line moja pekee ile ya 21 km. Phase 2 haijakamilika lakini kawaida yenu munaruka kuenda phase ingine na 2 hamjamaliza.
Tena kwa mkopo ya world bank na Afdb.
Kazi ya kujenga ilikuwa ianze mwaka jana lakini bado kawaida ya watu wavivu mpaka sahi bado haijakamilika.
http://documents1.worldbank.org/cur...19/ICR-P103633-2017-12-05-18-08-12062017.docx
Ndiyo hii hapa report ya world bank kuhusu hiyo BRT yenu.