Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

Hao wamezaliwa Tz,wamekulia Tz na utajiri wameupatia hapa hapa kwahiyo licha asili yao ni wahindi lakini wamekulia hapa km ardhi yao mama.
Kila mara mnasema Kenya uchumi umeshikiliwa na Mzungu, mbona msimseme huyu muhindi vivyo hivyo?
 
Mmmmmmh we jamaa hujui historia hatta.
Kakae usome historia.
Hapa Africa watu wakwanza kuja kutoka bara la nje ni Waarabu.
Wakafuatiwa na wahindi na wapersi ktk ufanyaji biashara ya barter trade .
Mzungu kamkuta mpersi,muhindi na mwarabu kama ulikua hujui.
Hao wa asia ndio asili ya kwanza kuja Africa kufanya barter trade ya urembo,vioo,viungo vya vyakula,persian carpets n.k n.k.
Mzungu kaja baada yao,wala usidanganye eti mzungu kamleta muhindi ajenge reli.
Wazungu wa Kenya wamekuja Kenya kabla wahindi waje Tanzania........hivi unajua historia wewe? Wazungu ndio waliowaleta Wahindi Afrika Mashariki kujenga reli.
 
Hao wamezaliwa Tz,wamekulia Tz na utajiri wameupatia hapa hapa kwahiyo licha asili yao ni wahindi lakini wamekulia hapa km ardhi yao mama.
Mbona Wazungu wazaliwa wa Kenya na waliopata utajiri Kenya mnatubeza nao eti tumetawaliwa na wao?
 
Taja hao wengine usiwe selective ili kuficha ukweli.
 
Nieleze, Muhindi amekuja Tanzania lini? Hao Wahindi wako Tanzania wamefika Tanzania mwaka gani? Jifunze historia Kijana,

Wahindi waliokuja kufanya barter trade hawakubakia Afrika Mashariki bali walirudi kwao na wengine wakaenda visiwani kama Maldives, comoros na Mauritius. Wahindi waliobaki humu waliletwa na Mzungu.Kama ni Barter trade bado kuna wazungu na Wachina waliofika miaka ya awali kabla ya Wakoloni pia.
 
Mo asili yake Muhindi lakini amezaliwa,amekulia na kutajirikia Tanzania.
Una lingine???
Weka Watanzania weusi wazawa na wakulia na waliotajirikia Tanzania 😂😂😂😂 najua hamna na ndio nakucheka...bure kabisa.
 
Someone from kenya trying to call others poor [emoji23][emoji23][emoji23]
Headquarters za slums duniani zipo Nairobi.

someone from a poor satanic nation trying to pick a discussion with a Kenyan. You must be having cowdung in between your ears.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…