Nairobi vs Kampala

Wewe hujuangi.. Kampala aina Airport coz ni milima mingi. Nai Vs Kampala ni fair
Tatizo unaandika "hujuangi".

Weka skylines za Kampala, Nairobi na Dar tuanze hapo kwanza na simple litmus test tu.
 
Kukalili huwa ni mboga ya aina gani hapo sukumaland??? That "Kukalili" Tells me you are a tailess African Hunting dog.
 
Hahahaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. kuna ma landlord wengine huwa ni tafashi bana
 
Tatizo unaandika "hujuangi".

Weka skylines za Kampala, Nairobi na Dar tuanze hapo kwanza na simple litmus test tu.
Masee wewe ushikanishi any.. Kampala niku noma, kuna ma place ka Bugolobi kunaka kivingine yani. Ingianga google ujibambe mwenyewe
 
Mi ni mtanzania halisi na mwafrika mashariki mbobezi...

Siweki ushabiki au uchachandu ila ukweli ulio dhahiri...

Bila kupepesa macho wala kuona aibu
1. Nairobi
2. Dar Es Salaam
3. Kampala
4. Kigali
5. Bujumbura


Nimemaliza
Mimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.

Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.

Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.

Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.

Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.
 
Mimi ni mkenya, nilikuanga naamini Nai iko poa zaidi EA. Nikaja kuona pics na video za Dar.. nime agree Dar nikunoma masee. Nita come huko ku visit
 
Pole ndio wale walipokaji ungekaa kimya tu Kama mwanzo
 
Hapo ndio manjiona mmeyapatia wenyewe kama wale wanaovaa sendo na sox au sio?


Mnashirikiana bila fact... Jitahidin basi hata msafiri mufike katika sehem tajwa mtamezeshwa matango pori.

Alafu pitien pitieni vitabu vya uchumi muone GDP inapatikana vipi... Msipagawe pagawe kila mnachosimuliwa.

Nairob ni taifa la mabeberu.. Ranking nyingi zinapita pale... Ukiitaka kuijua nai nenda kajionee.. Vitabu vitakudanganya...

We haushangai gdp wapo juu ila ajira mbovu... Huduma za kijamii ni mbovu... Bidhaa bei za ajabu... Njaa imetawala bado nchi ipo insecure...

Sasa vinatokana na nin unafikiri.

Jifunzeni msiropoke.

Mi nawaambia... Nimebahatika kutembea nchi zote east and central africa...

Tanzania ni zaidi ya bora wakuu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe umelala usingizi wa icu.na hili ndio tatizo lenu baadhi ya wakenya.mnajisahau mno na kuamini maisha nje ya nairobi yamesimama.

watu kama sauti sol ilibidi tu waongee ukweli,kwamba wameshtuka sana,bahati mbaya au nzuri hawakuja kutembea,wamealikwa kikazi hivyo hatukuweza kuwatembeza zaidi jiji la mfano east africa[emoji16][emoji16],wangeshangaa zaidi kisha wajidharau kabisaa.

bro imechapwa newyork city na hongkong,paris na dubai,sembuse nairobi the home of slums[emoji38]
 
wenyewe kenya wanajua.

ndio maana mkenya yeyote anamkasirikia mtz bila sababu.
 
Mi ni mtanzania halisi na mwafrika mashariki mbobezi...

Siweki ushabiki au uchachandu ila ukweli ulio dhahiri...

Bila kupepesa macho wala kuona aibu
1. Nairobi
2. Dar Es Salaam
3. Kampala
4. Kigali
5. Bujumbura


Nimemaliza
Bujumbura ni Manispaa tu, haijafika hadhi ya jiji.

Vv
 
Dar ni kubwa kushinda new york...je dar imeipiku new york....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wacha kutoka nje ya mada please[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Ugua tu pole pole...hta mkafungua nyuzi ngapi..ukwel uko pale pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na si kumbe mnaumia jamani


[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Itawachukua Kampala several centuries kutufikia Nairobi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…