Ushawahi kusikia Kampala katika list za slum duniani??!...
Lakini Nairobi kuna slum zaidi ya nne katika list ya slum mbaya zaidi duniani..
Kampala is better than Nairobi,
Fikieni Mombasa kwanza ndio muanze kuitaja NairobiView attachment 1198932View attachment 1198933
Now nimeshift pande za West budda, land lord wa huku hananga maneno mob, life iko good side hii kidedli bradhe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ww kuta vitu hizo. Uki come Kisumu upitie side za Nyalenda huku tuna stay watu wa nguvu. View attachment 1199034
We fala tokalini Dar ikawa kubwa kuliko New York????Dar ni kubwa kushinda new york...je dar imeipiku new york....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wacha kutoka nje ya mada please[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Ushawai kuskia city yoyote yenye iko uswazi ndani yake...dar pekee..na inashikilia namba moja...na haina mfano
Kaka na ww kuhusu Uganda kutangazwa kuwa best enterpreneual nation worldwide unaamini????
Huwenda wamekaa kimya kwa kuwa wamepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Nakubali bro kwa sasa hatuifikii Nairobi ila tutaifikia ndan ya muda mfupi tu kwan China aliifikiaje US.
Trust yourself dude believe in yourself.
Miaka tano tena Mingi.
So you actually know that Dar still has a long way to go to reach where Nairobi is but unashinda hapa ukipiga kelele the whole day! Kumbe ni ushabiki tu na uzalendo kwa nchi! Nishajua sasaKaka na ww kuhusu Uganda kutangazwa kuwa best enterpreneual nation worldwide unaamini????
Huwenda wamekaa kimya kwa kuwa wamepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Nakubali bro kwa sasa hatuifikii Nairobi ila tutaifikia ndan ya muda mfupi tu kwan China aliifikiaje US.
Trust yourself dude believe in yourself.
Miaka tano tena Mingi.
Mimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.
Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.
Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.
Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.
Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.
Nairobi hii hii yenye slum kila kona au kuna nyingine [emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndo wale wa story za vijiweni.
Bro ww ni mkaririji.kwan twenda mbal: see for yourself, i dont need to introduce myself kua am from tz maana mtu anaweza dhan labda mm mkenya najitetea: am from tz, and sisi watz ni waongeaji sana, vitendo hatuna: we angalia thread zote uku za tz vs nairobi: wanafungua watz while you can hardly see on you naked us, leave alone ambao ata tumefika: check uganda budget ya mwaka huu, tz budget na kenya budget: you can see the speed uganda wanakuja nao na gap tulionao kutoka kufika kenya, in other words ukijumlisha budget ya tz na uganda zote kwa pamoja bado chenchi inabaki sasa mtu bado anafungua thread tz vs kenya: huyu mtu ana akili kwel?
Mimi ni mkenya, nilikuanga naamini Nai iko poa zaidi EA. Nikaja kuona pics na video za Dar.. nime agree Dar nikunoma masee. Nita come huko ku visit
Unaongea kuhusu Sauti Sol? Those are artists and artists can do or say anything to increase their fan base in a particular region (it's called target audience). Naamini hata wewe hapa ushakuwa shabiki wao mkuu kutokana na hayo maneno yao. Lakini mimi nakumbuka kwamba there's a time a head of state from a neighboring country referred to Nairobi as the 'Europe of Africa'. He even urged his countrymen never to borther going to Europe because Europe is just here in Nairobi. That they just need to cross the border and reach Europe! Tafakari hayo[emoji16][emoji16][emoji16]wewe umelala usingizi wa icu.na hili ndio tatizo lenu baadhi ya wakenya.mnajisahau mno na kuamini maisha nje ya nairobi yamesimama.
watu kama sauti sol ilibidi tu waongee ukweli,kwamba wameshtuka sana,bahati mbaya au nzuri hawakuja kutembea,wamealikwa kikazi hivyo hatukuweza kuwatembeza zaidi jiji la mfano east africa[emoji16][emoji16],wangeshangaa zaidi kisha wajidharau kabisaa.
bro imechapwa newyork city na hongkong,paris na dubai,sembuse nairobi the home of slums[emoji38]
kwan tz akuna slums: ivi unajua ata kufikisha umeme kagera mpaka leo imeshindkana kiasi kwamba wananchi wa kagera wanatumia umeme wa uganda?
Niletee hizo slum za Tz nione,
Nyie ndio wale wa vijiweni mnaopiga soga za kukaririshana ukumbafu.
not here to start telling you this is a slam ama not: my whole point is, we still have a long way to go: and pia kuna opportunity apa its just for you to pick it up instead of sharing pics za projects ambazo hazijaisha: sasa cha ajab na project znakuja kuisha but because we dont have that opportunistic nature bado kelele ztaendelea kua zile zile: see this in an opportunity view izi mada dont make anyone even a cent
Bro ww ni mkaririji.
Angalia Uganda economic projects ngapi imefanya na iko wapi na iangalie Tz economic projects ngapi imefanya na inafanya.
Iangalie hyo Kenya unayoisifia imeendelea watu wana commit suicide kwa ugumu wa maisha daily habari zinatoka.
Mwaka huu wametoa habari kuwa watasitisha ajira serikalini kwa muda wa miaka mitatu Kenya hv unajua kuna athari gan itatokea???
Hiyo Kenya unayoisifia gap la masikini na tajiri ni kubwa kinyamma yani kubwaa ile mbaya.
Hiyo Kenya unayoisifia inaongoza kwa maden East Africa.
Kenya unayoisifia inaongoza kwa failed projects mkuu.
Kenya unayoisifia inashindwa hata kudhibiti balaa njaa aisee.
Uchumi upi mkubwa unaozungumzia ww???
Vtu vingine hv twende kwa reality bhanaaa.
We nchi ina budget kubwa sawa asa kwann wasitishe kuajiri kwa muda wa miaka mitatu????
Hapo hapo kuna wanaomaliza vyuo wapo wanaosoma wanamaliza mwakan na wapo walohitimu mwaka huu.
Nambie hilo wimbi la unemployment litakuaje????
Nakuambia niletee hizo slum za Tz ulizosema zipo unaleta story mob,
Niletee hizo slum nione hapa.
Ushai sikia city ina slums??
Noop ni Nairobi pekee ndiyo yenye slums
because thats childish kuanza kutafuta picha za slums: kupost , then na wewe upost then na mm nipost, man: are you mentally ok? with all the resources available online you known where to get them