Kwakweli kuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine ambaye bado anaishi ni changamoto sana. Leo nilimtrembelea mdogo wangu naye ameoa demu na mtoto ila changamoto ni nyingi sana na dogo anaona kabisa hawatofika mbali ingawa na yeye keshapata naye mtoto.
Demu kapewa pesa amnunulie mtoto nguo hasa kipindi hizi cha baridi lakini yeye hajanunua pesa katuma kwao kuhudumia mtoto wake wa kwanza.
Wanawake wazuri sana wengi huzalishwa na wanaume wenye mvuto mkali sana kwa mademu.
So anakuwa hayupo tayari kuona uzao wa yule mwanaume unateseka kwa lolote.
Wewe ukija na maisha yako makubwa uliyoyapata baada ya haso nyingi za kumwaga damu
Anakupapatikia kwa sababu anaona unauwezo wa kuoffer ile standard ya life anayoiota ila usikae ukafikiri kwamba atachukua ile submisive instict akukabidhi wewe.
Milele ataendelea kumpenda kwa dhati yule kiboy wake ambae anamridhiaha kimuonekano.
Mimi natafuta pesa ili niweze kumnunua mwanamke yeyote yule mzuri wa muonekano na lazima awe na figure haswa siwezi kumpa pesa mwanamke wa kawaida hata siku moja maana nilishaambiwa muonekano wangu ni wa kawaida sana.
Hapo niligundua ule ukweli uliomo kwenye nafsi za wanawake wengi.
Wanatunyanyapaa sana sisi washikaji ambao kimuonekano tupo kawaida sana au wenye muonekano ambao ukimtazama mtoto wa mtu ghafla kama alikuwa anacheka anabadili sura hapo hapo na kuanza kulia au kama alikuwa analia ananyamaza kwanza halafu anasikilizia kama unataka kumchoma sindano.
Ukipata pesa usikimbilie kuoa mwanamke mwenye mvuto mkali sana.
Hao ni kuwawekea dau tu unawakula kinyama yaan ile unageuka mnyama sana
Hakuna kujenga hisia na hao viumbe wazuri wala nini.
Mpe kama ni 100k au 2 au 3 mle vibaya vibaya kisha tafuta mwingine na mwingine tena.
Fanya umalaya kwanza ili uondoe ushamba wa mapenzi.
Ukitaka kuoa nenda kaoe mwanamke wa kawaida tu mdogo.
Endelea kula wale wazuri ambao wanafikiri uzuri wao ni soko, tafuna kwa kwenda mbele.
Hakuna kumsikiliza ngonjera zake.
Fact ni hii ukiona mwanamke mwenye umbo kali linamwagikia ana sura na rangi ya utulivu hapa duniani unatakiwa upige hesabu ya body count ya chini ni 20 kwenda huko kwenye mamia.
Unless tu umkute bikra.
Usikubali akwambie wewe ni wa nne kataa kwa herufi kubwa sana.
Huyo ameliwa mno sasa inakuwaje wewe unajikomit na mtu ambae ana body count ya 50 na wewe u a 5 au 8 na bado yeye ana uhakika wa kuendelea kuongeza hiyo namba akiwa na wewe kwenye ndoa.
Wajuba tunatenga dau lolote ili tumle mwanamke tunaemtarget lakini huyo mwanamke ni lazima awe na mvuto wa ajabu.
Wa kawaida hawa huwa tunatongoza kupima ukali tu wa silaha na muda mwingine wanakubali lakini hatutokei kwenye appointment.