Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

Kwakweli kuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine ambaye bado anaishi ni changamoto sana. Leo nilimtrembelea mdogo wangu naye ameoa demu na mtoto ila changamoto ni nyingi sana na dogo anaona kabisa hawatofika mbali ingawa na yeye keshapata naye mtoto.
Demu kapewa pesa amnunulie mtoto nguo hasa kipindi hizi cha baridi lakini yeye hajanunua pesa katuma kwao kuhudumia mtoto wake wa kwanza.
 
Lakini jamani tuwe tunaelewa nao wana moyo? Unadhani kumwacha mtoto uliyemzaa ukaenda kwa mwanaumw mwingjne ni jambo dogo.

Kule alikomwacha mtoto hata uhakika wa kula milo miwili tu ni jasho. Tena mlo hafifu mno. Huku kwa mume mpya anakula wali nyama. Roho inauma jamani.
Acheni tu.

Jiwekeeni kwenye viatu vyao.
 
Kama ni mchaga hata unyonye hadi utumbo wa mgongo dharau ni jadi yao, kiburi na kesi za kila siku pyuuuuuuu marangu oyeee,! Weupe lakini najuta najuta sitakuja kurudia ...nilimjengea hadi nyumba lakini waapi
Mchaga mpe mtori awe kifutu asitongozwe 😁
 
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Vikombe vinakaa kabatini sio mezani hivyo ni haki yake kuvibamiza
 
Lakini jamani tuwe tunaelewa nao wana moyo? Unadhani kumwacha mtoto uliyemzaa ukaenda kwa mwanaumw mwingjne ni jambo dogo.

Kule alikomwacha mtoto hata uhakika wa kula milo miwili tu ni jasho. Tena mlo hafifu mno. Huku kwa mume mpya anakula wali nyama. Roho inauma jamani.
Acheni tu.

Jiwekeeni kwenye viatu vyao.
Tatizo hawajui kula na vipofu.
 
Wewe sio mwanamume practically,je ukizaa wa kwako hawezi kuvunja hayo majagi?unaakili za kitoto sana ,kwa kifupi huwezi kuwa baba
 
Ile mindset ya "anafanya hivi kwa sababu sio mtoto wake" ndo sumu kali sana kwenye mahusiano na mtu mwenye mtoto
Single mother kunawakati ni kma hawajiamini hiyo ndo shida
 
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
huyo ni mwanao pia saidia kumlea
 
ichukulie kiuzuri hii hali,wakianza tembea hua wanataka kujua kila kitu,changamoto ninayoiona kwa mama mtu atamdekeza sn mtoto mpk atakupanda kichwani na kua teja or mwizi baadae.
Kwa sasa mnunulie vitu vya kuchezea vitamsaidia sana magari,toi na vitu km hivyo,kingine weka mbalivitu vinavyopasuka na vikiharibika nunua plastic stuff or vya Mbao.
Yakikushinda mwambie akatafute kwingine kulikokuishi na mtu anaekukwaza
 
Back
Top Bottom