LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Eehh ndio maana yake. Si wanajifanya hawasikii iila siku haya mambo wanaambiwa!.Na badoš
Eehh ndio maana yake. Si wanajifanya hawasikii iila siku haya mambo wanaambiwa!.Na badoš
Children are / Child isChildren is learning.
Be patientBe patience
and loveand loved
her mo.hers mom
Hiz lugha hizi!!! š¤£š¤£true love.
Hapo ni dogo tu kaanza varangati bado huyo sigo mamašEehh ndio maana yake. Si wanajifanya hawasikii iila siku haya mambo wanaambiwa!.
Acha kijana apigwe mande mpaka akil imkae sawaHapo ni dogo tu kaanza varangati bado huyo sigo mamaš
Ha ha Maamuzi magumu siyo?.Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Hahaha noma sana mkuuAcha kijana apigwe mande mpaka akil imkae sawa
Lazima kuthamini vitu pia kwa kuviweka mbali na mtoto anapokuwa katika umri huo. Mbona hajamwacha kwenye moto au umeme? We ulishakuwa na mtoto katika umri huo, nini ulikuwa unafanya kuzuia uharibifu? Je mlimwachia kila kitu aharibu simply anajifunza?Kuna wakati umasikini unatufanya kuwa na Roho ya ajabu Sana.
Yaani uachane na mkeo kisa mtoto....tena anayejifunza kutembea?
Anyway hata ukimuacha huyo mtoto yeye ataendelea kukua na Mungu atasimama upande wake. Tulio wengi ni mazao ya usingo Maza lakini we are people now . Wapende watoto usiwabague.
So hiyo ikakupa guarantee šÆ kuwa jamaa hatarudi kwa mke wake? No matter the circumstances zilizomfanya awe single mother piga chiniNi jamaa wa ujenzi alikuja kwa project ya ujenzi enzi za magu raia wa Rwanda baada magu kufa kaludi kwao
Yule mwamba ni mhutušššUmejipatia Mtoto wa Kitusi. Shikilia hapo hapo Mlee vizuri.
Changamoto ni kauli za mama yake kuwa "au kwa sababu mtoto sio wako" hii kauli inakata sana na single mothers wengi wanapenda kuitumia pindi unapogusa watoto wao.Hivyo vitu hata si vigeni kwa nyumba yenye mtoto mdogo iwe ni wa wako ama sio ni vile hukutaka kuvijua kabla na namna ya kukabiliana navyo pindi vikitokea ndo sababu unahangaika.
#Akikuaataacha.
Pole baba juniaHabari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Toto linakudharau sana, basi tuu haliwezi kukushauri kuhusu single maza.Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana