permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Hiki Kiingereza kitaua mtu.Children is learning. Be patience and loved hers mom true love.
Hiki Kiingereza kitaua mtu.Children is learning. Be patience and loved hers mom true love.
Cha Google translator au AIHiki Kiingereza kitaua mtu.
Umejipatia Mtoto wa Kitusi. Shikilia hapo hapo Mlee vizuri.Yaa mwamba hayupo tena jamaa kakimbia family
Swali zuri Sana akikujibu ni tag hisije kuwa mtu mwenyewe NI masoksi .kapigwa pasiMaisha unaishi wewe ,, ushauri unatuomba sisi ambao hatukujui wewe , Mkeo Wala huyo mtoto.
Jibu swali je huyo single Maza ana chura?
.nishatoa vyombo vya plastics kwa ajili ya mtoto yeye anampa vya udongo kwa nn sasa hata mwanangu lazima ningeongeaUkitaka kuwa na amani kwenye hayamaisha ishi ukiwaona binadamu wote sawa kuwa na upendo
Mkuu tulivoagizwa tupendane jibu rahis ndiyo njia ya kuwa salama kihisia hata unapopitia magumu na usiyoyaoenda Kwa namna nyingi
Nikuulize huyo mtoto angekuwa ni damu Yako anavunja vitu na anafanya Fujonkiasi hiko ungefanyaje??
Fanya maamuzi haraka.Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
ukipenda UA lazima upende na tunda lake bro 😀 😀 😀Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Anyway, pole bro. hapo lazima utambue saikolojia ya leftover (single mother) anacho tegemea kwako ni wewe umpende na kumjali yule mtoto kuliko hata mama yake, ukifanya hivyo ndo atajua umempenda kweli. hata kukupa hadhi ya baba wa mtoto huyo.Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Wewe ni me? Mbona una misemo ya kike hivyo?Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Watu hawataki kujifunza , ni kama kenge hasikii mpaka aone damu zinamtoka masikioniHizi habari za single maza file lake lilishafungwa. Nenda katafute huko kwenye makabati lilishatolewa maamuzi.
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana