Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

mkuu hii chai yako imechacha tena imevunda kabisa..hata kama una chuki na singo mother ila sio kwa uongo ulioandika hapa kwani umesema mtoto ndio ameanza kutembea maana yake huyo bado ananyonya huko kusema eti ameshavunja majagi,sahani na vikombe..sasa vyombo vyote hivo amevivunja namna gani wakati hata juu ya meza hawezi kufika.! na bado unasema eti unamuonya sasa kitoto kipo kwenye umri wa kunyonya ziwa la mama hayo maonyo yako kuhusu vyombo anaelewa nini hako katoto cha mwaka mmoja.! si ndio mwanzo wa ww mleta mada kuonekana chizi tu uliyedata kisa katoto kinachonyonya.!
 
Lakini pia yawezekana unashinda nyumbani muda mwingi ndio maana unayaona mpaka hayo makosa madogo madogo ya kupasuliwa vyombo
Hapana imeniuma sana leo chakula napewa kwenye sahani ya plastic nikauliza mbona inakuwa iv leo ndo ananiambia sahani hamna zote zimevunjwa imeniuma sana ndo nikaamua kuja huku
 
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Mkuu mafundisho yoote tunayotoa humu hayakukufa unadhani leo ushauri utkusaidia?
 
mkuu hii chai yako imechacha tena imevunda kabisa..hata kama una chuki na singo mother ila sio kwa uongo ulioandika hapa kwani umesema mtoto ndio ameanza kutembea maana yake huyo bado ananyonya huko kusema eti ameshavunja majagi,sahani na vikombe..sasa vyombo vyote hivo amevivunja namna gani wakati hata juu ya meza hawezi kufika.! na bado unasema eti unamuonya sasa kitoto kipo kwenye umri wa kunyonya ziwa la mama hayo maonyo yako kuhusu vyombo anaelewa nini hako katoto cha mwaka mmoja.! si ndio mwanzo wa ww mleta mada kuonekana chizi tu uliyedata kisa katoto kinachonyonya.!
Mwanae mtundu sana kaanza kutembee sasa na miaka 2 kachelewa sana anapanda hadi juu ya meza sema meza ya mbao kama ya kioo tayari ishavunjwa
 
Ukishindana na nature lazima uumie ni vile tu binadamu tunajiona tupo civilized,

Simba akivamia himaya ya Simba mwengine na aki dominate basi huchukua masimba jike wote na ataua watoto wote aliowakuta waliozaa na madume yale.
Bint mwenyewe yupo sawa anafanya kazi zote za nyumbani ila mtoto ndo shida
 
Mwanae mtundu sana kaanza kutembee sasa na miaka 2 kachelewa sana anapanda hadi juu ya meza sema meza ya mbao kama ya kioo tayari ishavunjwa
Nakuibia siri uishi vizuri na mke wako. Hilo jambo dogo.

Kwanza kchelewa kutembea, furhi kwmba mtoto anatembea. Ni jambo jema ndugu yangu. Wulize wenye watoto walioshindwa kutembea kabisa usikilize simanzi zao.

Kwa kuwa mtoto alichelewa sasa ana kimuhe muhe na wenge. Inaonekana hapo alipo hakuna watoto wengine wa kucheza naye.

Take your time. Mtoe nje mtoto acheze na watoto wenzie tena mtoe wewe mwenyewe ili azoee.

Pili mali zako anaziona anafurahi huenda alikotoka hivyo vitu vya kuchezea hakuwa navyo.

Kaa na mkeo mweleze malezi ya mtoto hata kama ni mdogo lazima yasimamiwe.

Usisahau tu Baba Mtoto hata leo akija akamuomba msamaha mama yake, my friend utaachwa kwenye mataa.😅😅
 
Vyombo vya plastics vipo mbona mkuu ila yeye anampa kwenye vyombo vya udongo alafu akivunja hataki uongee ukiongea anasema humpendi mtoto kisa siyo mwanao
Me nadhani wewe ndo una changamoto mkuu. Shirikiana na mzazi mwenzako kwenye malezi. Unajiweka kando sana tena una highlight part ya yeye kuwa single mother kama vile ni dhambi. Huyo ni mkeo, mpende na muelekeze.
 
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Kimbia kama Shedrack Boka
 
fanya hayo maamuzi unasubiri nini..?
 
Nakuibia siri uishi vizuri na mke wako. Hilo jambo dogo.

Kwanza kchelewa kutembea, furhi kwmba mtoto anatembea. Ni jambo jema ndugu yangu. Wulize wenye watoto walioshindwa kutembea kabisa usikilize simanzi zao.

Kwa kuwa mtoto alichelewa sasa ana kimuhe muhe na wenge. Inaonekana hapo alipo hakuna watoto wengine wa kucheza naye.

Take your time. Mtoe nje mtoto acheze na watoto wenzie tena mtoe wewe mwenyewe ili azoee.

Pili mali zako anaziona anafurahi huenda alikotoka hivyo vitu vya kuchezea hakuwa navyo.

Kaa na mkeo mweleze malezi ya mtoto hata kama ni mdogo lazima yasimamiwe.

Usisahau tu Baba Mtoto hata leo akija akamuomba msamaha mama yake, my friend utaachwa kwenye mataa.😅😅
Ni jamaa wa ujenzi alikuja kwa project ya ujenzi enzi za magu raia wa Rwanda baada magu kufa kaludi kwao
 
Hapana imeniuma sana leo chakula napewa kwenye sahani ya plastic nikauliza mbona inakuwa iv leo ndo ananiambia sahani hamna zote zimevunjwa imeniuma sana ndo nikaamua kuja huku
Pole Sana mwamba. Kuwa mlezi kunahitaji uvumilivu na moyo mkuu.
Usijali kuhusu Hilo.....kinacho hitajika ni busara tuu
 
Back
Top Bottom