Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

Wewe huna mpango wa kuzaa?? Acha watu humu wakujaze kichwa uone sifa haya angekua wako ungekuja kuomba ushauri?? Wewe hutokua baba?? Kwamba mwanao hatovunja vitu na kuharibu yaan umetoa sababu za kipuuz kama mwanaume yaan vyombo vya udongo mtoto anayetambaa kapasua umekuja kuomba ushauri
This is too much Kwa vijana wa kiume ambaye ni future father
 
Kama ni mchaga hata unyonye hadi utumbo wa mgongo dharau ni jadi yao, kiburi na kesi za kila siku pyuuuuuuu marangu oyeee,! Weupe lakini najuta najuta sitakuja kurudia ...nilimjengea hadi nyumba lakini waapi
Bado hujasema 😂
 
ichukulie kiuzuri hii hali,wakianza tembea hua wanataka kujua kila kitu,changamoto ninayoiona kwa mama mtu atamdekeza sn mtoto mpk atakupanda kichwani na kua teja or mwizi baadae.
Kwa sasa mnunulie vitu vya kuchezea vitamsaidia sana magari,toi na vitu km hivyo,kingine weka mbalivitu vinavyopasuka na vikiharibika nunua plastic stuff or vya Mbao.
Yakikushinda mwambie akatafute kwingine kulikokuishi na mtu anaekukwaza
Ndo ivyo mkuu nimenunua vyombo vya plastics kwa ajiri ya mtoto cha ajabu hampi humo mkuu mpaka mda nimeleta hapa imekuwa too much
 
Wewe huna mpango wa kuzaa?? Acha watu humu wakujaze kichwa uone sifa haya angekua wako ungekuja kuomba ushauri?? Wewe hutokua baba?? Kwamba mwanao hatovunja vitu na kuharibu yaan umetoa sababu za kipuuz kama mwanaume yaan vyombo vya udongo mtoto anayetambaa kapasua umekuja kuomba ushauri
This is too much Kwa vijana wa kiume ambaye ni future father
Sasa mkuu kama anatembea ndo umwache avunje vitu bila kumzuia iyo siyo hata kama angekuwa mwangu bado ningeongea nimetoka kununua dinaset juzi la efu 80 nimebakisha vikombe vitatu na visoseji vya chai
 
Lazima kuthamini vitu pia kwa kuviweka mbali na mtoto anapokuwa katika umri huo. Mbona hajamwacha kwenye moto au umeme? We ulishakuwa na mtoto katika umri huo, nini ulikuwa unafanya kuzuia uharibifu? Je mlimwachia kila kitu aharibu simply anajifunza?
Ukishapata mtoto utaelewa
 
Mvumilivu hula mbivu.

Ww n wa pekee,yaan umemchukua mtoto bado kutembea lkn sasa anatembea.
Mbona bado kidogo tu aache ziwa na uanze kula tunda la eden kilain.
 
Acha upuuzi wewe kwani huyo mtoto kapasua vyombo kabati zima au wewe hujawahi kufanya kosa ukiwa mtoto?
Yaani unamringishia mtoto tuvyombo twa udongo? HUO NI UMASIKINI.
We nawe unabisha upuuzi tu..hapo kakuambia mama yake alikuwa na alternative ya kutumia vyombo ambavyo havipasuki kirahisi...ila bdo ni kama anamkomoa jamaa..sasa ni nini hujaelewa hapo..ila maisha ya mtandao ni ya kipuuzi sanaa...nyie ndo mnajifanya natumia milion kwq siku kutafuta attention..mkiugua mnapigia hadi wazazi wenu wawatumie hela za matibabu...
 
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Mrushe nje ya geti mkuu,kwanza umeoaje mke mtu?Mshamba wewe!!
 
Ila masingle Maza bna mtoto Hana hata miaka 2 .usharukia mwanaume mwingine na bila ndoa .aya ulipata mimba ingine halafu uachwe?
Mimi kwa kweli Bora nipambane na dogo kweli wanaume wapo wanaotupenda na watoto wetu wachanga ila ni very risky.
 
We nawe unabisha upuuzi tu..hapo kakuambia mama yake alikuwa na alternative ya kutumia vyombo ambavyo havipasuki kirahisi...ila bdo ni kama anamkomoa jamaa..sasa ni nini hujaelewa hapo..ila maisha ya mtandao ni ya kipuuzi sanaa...nyie ndo mnajifanya natumia milion kwq siku kutafuta attention..mkiugua mnapigia hadi wazazi wenu wawatumie hela za matibabu...

We nawe unabisha upuuzi tu..hapo kakuambia mama yake alikuwa na alternative ya kutumia vyombo ambavyo havipasuki kirahisi...ila bdo ni kama anamkomoa jamaa..sasa ni nini hujaelewa hapo..ila maisha ya mtandao ni ya kipuuzi sanaa...nyie ndo mnajifanya natumia milion kwq siku kutafuta attention..mkiugua mnapigia hadi wazazi wenu wawatumie hela za matibabu...
"mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani"my main concern ni hiyo hoja. Unaweza kuona kabisa jamaa ana chuki ya moja kwa moja kwa mtoto. Issue ya kupasua vyombo ni kujenga Tu msingi wa anachotaka kufanya.

Imagine mtoto anayeanza kutembea anahusishwa na upasuaji wa vyombo...anaweza kushangaa huyo mtoto akaja kumlea na kumfuta vinyesi. Chezea Mungu,ni fundi balaa.
 
Ndo ivyo mkuu watu wanapenda maisha ya maigizo sana
 
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Mpeleke English medium ya MILION 4
 
"mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani"my main concern ni hiyo hoja. Unaweza kuona kabisa jamaa ana chuki ya moja kwa moja kwa mtoto. Issue ya kupasua vyombo ni kujenga Tu msingi wa anachotaka kufanya.

Imagine mtoto anayeanza kutembea anahusishwa na upasuaji wa vyombo...anaweza kushangaa huyo mtoto akaja kumlea na kumfuta vinyesi. Chezea Mungu,ni fundi balaa.
Mkuu siyo chuki najua yupo kujifunza kupasua sahani moja au kikombe kwa bahati mbaya siyo mbaya sasa kupasua vyombo kila siku hapo shida ipo chukulia vyombo vyote vyaudongo hakuna nakula na vya plastics sasa au ww ndo watoto wako unawalea kishua akivuunja simu leo ukitengeneza kesho unampa avunje tena au siyo
 
Mkuu I feel your pain....hapo mzembe ni mama mtoto. Yeye ndiye mwenye dhamana ya shughuli zote za malezi hapo nyumbani.
 
Mkuu siyo chuki najua yupo kujifunza kupasua sahani moja au kikombe kwa bahati mbaya siyo mbaya sasa kupasua vyombo kila siku hapo shida ipo chukulia vyombo vyote vyaudongo hakuna nakula na vya plastics sasa au ww ndo watoto wako unawalea kishua akivuunja simu leo ukitengeneza kesho unampa avunje tena au siyo
No siwalei hivyo wanangu.
 
Back
Top Bottom