Ongea na KI Aziz muulize yeye anawezaje kuvumiliaHabari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Tunakoelekea wanaume wenye maamuzi tunapungua sana.Siyo mwanangu nimemkuta na mtoto
Nimecheka kwa sautNa bado😎
Dah English kwa Wa Tanzania ni janga. Yaani umejikakamua kutuonyesha ulichobarikiwa. 😁Children is learning. Be patience and loved hers mom true love.
Watoto anajifunza, kuwa uvumilivu na alimpenda mama yake penzi la kweli. Ndio ulichocomment .Children is learning. Be patience and loved hers mom true love.
Kwani alivyoachana nae mtoto alikua anavunja vyombo🤣🤣🤣Ndo maana nikasema nimeamini leo jamaa hakukukosea kumpiga chini ndo nataka nifanye maamuzi magumu sasa kama jamaa
Hao ndo malezi tulia mzeeMwanae mtundu sana kaanza kutembee sasa na miaka 2 kachelewa sana anapanda hadi juu ya meza sema meza ya mbao kama ya kioo tayari ishavunjwa
Kwaiyo hilo swali ni gumu sana mnakosa majibu?Changamoto ni kauli za mama yake kuwa "au kwa sababu mtoto sio wako" hii kauli inakata sana na single mothers wengi wanapenda kuitumia pindi unapogusa watoto wao.
Heri wewe umebakiza vikombe na visosi kwangu dada wa kazi keshavunja vyote hatunywi chai siku hiziSasa mkuu kama anatembea ndo umwache avunje vitu bila kumzuia iyo siyo hata kama angekuwa mwangu bado ningeongea nimetoka kununua dinaset juzi la efu 80 nimebakisha vikombe vitatu na visoseji vya chai
Tusaidie majibu mkuuHao ndo malezi tulia mzee
Kwaiyo hilo swali ni gumu sana mnakosa majibu?
Yani kama ni odd, tunasema "away team over 1.5Hongera mliopata wake na familia kwa mpigo.
Hongereni Sana.
Wewe ni pimbi,bwege,fala ,jinga.Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa kutembea sasa ndo anatembea yan ni kuvunja vitu ndani mpaka sasa ashapasua majagi ya maji vikombe na sahani nikimkataza mtoto yani nanunua ugomvi kwa mama mtu anasema mwache mtoto au kisa siyo mwanao ndo unamfanyia ivi yani ni lawama mpaka basi nipeni ushauli maana nataka kufanya maamuzi magumu sana
Utetezi wa malaya wanaoitwa jina la kistaarabuKuna wakati umasikini unatufanya kuwa na Roho ya ajabu Sana.
Yaani uachane na mkeo kisa mtoto....tena anayejifunza kutembea?
Anyway hata ukimuacha huyo mtoto yeye ataendelea kukua na Mungu atasimama upande wake. Tulio wengi ni mazao ya usingo Maza lakini we are people now . Wapende watoto usiwabague.
Shukuru Mungu wewe hauna doa.Utetezi wa malaya wanaoitwa jina la kistaarabu
single mama.