Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

Ushasema umenunua ugomvi,... pambana , komaa kuonesha kwamba hakuna ushindi wa chee, show show 😃
 
Usicoment kwa hisia sana mkuu.
Jaribu kuielewa dhima kuu ya mtoa post.
Nilivyoelewa mimi ni kuwa mtoa posti halii na mtoto bali analia na effects zinazoletwa na huyo mtoto kutokuwa wake.
Yaani hana ule uhuru kamili juu ya mtoto huyo ambapo dogo akikua ndio itakuwa shida zaidi
Muda wa baba kuinstill ile fatherhood kwa mtoto ni umri huo akiwa mdogo sasa mama mtoto wengi huwa hawawapi baba wa kambo hiyo chance kisa sio Biological father.
Hii hali ya wamama kuyakumbatia matoto huyafanya matoto kuwa ******* sana hata kama toto ni lako.

Yaani mimi kama mke wangu akiona namuadhibu mtoto halafu akajaribu kutia neno ajue amenunua vita ya Ukraine.
Nitawachakaza yeye na mtoto hadi siku nyingine akiona natoa dozi hawezi thubutu kuingilia.
 
Mchape matukio kisha lete asie na mtoto. Unaanzaje mpira mechi ikiwa moja bila
 
Acha kijana apigwe mande mpaka akil imkae sawa
Yaani kwako halafu unamkaribisha anakuja kukuletea fyoko fyoko oya wewee!!
Unampa likizo akasalimie wakwao akitaka kurudi unamwambia naomba niongee na mama mkwe.
Akikupa tu unamwambia mama mkwe
Tafadhali naomba umkanye mwanao asirudi kwangu abaki huko huko sitaki mje kunielewa vibaya.
Mama ataongea na binti yake na hutamuona kwako tena.
Mama asipoelewa mtongoze yeye lazima atauvunja huo uhusiano kwa njia yoyote.
 
Wanawake wazuri sana wengi huzalishwa na wanaume wenye mvuto mkali sana kwa mademu.
So anakuwa hayupo tayari kuona uzao wa yule mwanaume unateseka kwa lolote.
Wewe ukija na maisha yako makubwa uliyoyapata baada ya haso nyingi za kumwaga damu
Anakupapatikia kwa sababu anaona unauwezo wa kuoffer ile standard ya life anayoiota ila usikae ukafikiri kwamba atachukua ile submisive instict akukabidhi wewe.
Milele ataendelea kumpenda kwa dhati yule kiboy wake ambae anamridhiaha kimuonekano.
Mimi natafuta pesa ili niweze kumnunua mwanamke yeyote yule mzuri wa muonekano na lazima awe na figure haswa siwezi kumpa pesa mwanamke wa kawaida hata siku moja maana nilishaambiwa muonekano wangu ni wa kawaida sana.
Hapo niligundua ule ukweli uliomo kwenye nafsi za wanawake wengi.
Wanatunyanyapaa sana sisi washikaji ambao kimuonekano tupo kawaida sana au wenye muonekano ambao ukimtazama mtoto wa mtu ghafla kama alikuwa anacheka anabadili sura hapo hapo na kuanza kulia au kama alikuwa analia ananyamaza kwanza halafu anasikilizia kama unataka kumchoma sindano.
Ukipata pesa usikimbilie kuoa mwanamke mwenye mvuto mkali sana.
Hao ni kuwawekea dau tu unawakula kinyama yaan ile unageuka mnyama sana
Hakuna kujenga hisia na hao viumbe wazuri wala nini.
Mpe kama ni 100k au 2 au 3 mle vibaya vibaya kisha tafuta mwingine na mwingine tena.
Fanya umalaya kwanza ili uondoe ushamba wa mapenzi.
Ukitaka kuoa nenda kaoe mwanamke wa kawaida tu mdogo.
Endelea kula wale wazuri ambao wanafikiri uzuri wao ni soko, tafuna kwa kwenda mbele.
Hakuna kumsikiliza ngonjera zake.
Fact ni hii ukiona mwanamke mwenye umbo kali linamwagikia ana sura na rangi ya utulivu hapa duniani unatakiwa upige hesabu ya body count ya chini ni 20 kwenda huko kwenye mamia.
Unless tu umkute bikra.
Usikubali akwambie wewe ni wa nne kataa kwa herufi kubwa sana.
Huyo ameliwa mno sasa inakuwaje wewe unajikomit na mtu ambae ana body count ya 50 na wewe u a 5 au 8 na bado yeye ana uhakika wa kuendelea kuongeza hiyo namba akiwa na wewe kwenye ndoa.
Wajuba tunatenga dau lolote ili tumle mwanamke tunaemtarget lakini huyo mwanamke ni lazima awe na mvuto wa ajabu.
Wa kawaida hawa huwa tunatongoza kupima ukali tu wa silaha na muda mwingine wanakubali lakini hatutokei kwenye appointment.
 
Huyo mtoto(2) bado ni mdogo mno kupokea maonyo!.
Wewe deal na mama yake tu!
Kama hujafunga naye ndoa una haki ya kumwambia tuachane.
 
mkuu maji yakikufika shingoni, wahi mapema ofisini kwangu ujipatie mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana,.... thanks in advance 🙏🙏
 

WANAWAKE WAWILI HAMWEZI LEA MTOTO LAZIMA MPATE MWANAUME KATIKATI YENU. NDO MAANA TUNAPINGA SANA USAGAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…