Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

📌Wewe zoba,kaa humohumo domo zege wewe,umeshindwa kuchukua hata kitoto cha afu mbili na tano.Pumbavu watoto wote hao umeenda kwa SINGOMAZA.Vuna ulichopanda shwaini!!!

📌KATAA NDOA,KATAA SINGO MAZA!!!
 
Pole sana uwe unacharaza viboko huyo mtoto maana wewe ni kama baba yake
 
Achana nae .Watoto wote hio steji ni lazima wavuruge vyombo Sasa sijui utafanya maamuz magumu ukija ukizaa wanao .Hapo ni humpendi usitafute sababu,muache tu kuliko kuja kumdhuru mtoto wake bure
 
Kwa hiyo ukimkanya mama yake akilalamika ndio unaacha!?
Unamkanya na mama yake akipiga kelele nae anakula biti, hataki unamwambia asepe.
Maana huyu akikua atamlisha sumu utashangaa unakula makofi uzeeni

Ila na wewe kwanini ujenge kwenye kiwanja chenye umiliki na mtu mwingine
 
Kaz ipo
 
Pole ndugu yangu kuoa single mother ni kama umejitwika laana , kiukweli ukimuadhibu mwanae anaona unamuonea ,kingine unalea mtoto ambaye akikua ataondoka kwenda kwenye shina la ukoo wake daah ,hapo kiujumla huna chako , utadharaulika na kusimangwa haswa ukifikia umri ambao umeishiwa nguvu , kama vp achana na huyo MWANAMKE , single mother huwa siwapendi hata kidogo yaani hata kuolewa kwako ukute siyo kwa sababu ya upendo bali ameolewa kwako ili ALEE MWANAE akikua na akafanikiwa mwanae utaachwa kwenye hali ngumu sana.

Kingine mwambie apeleke mtoto kwao kama anataka muishi wote ,alafu kuoa single mother nikujishushia heshima kwa jamii.
 
Simshauri aendelee kuwa na single mother ,single mother hawafai .
 
Ni kweli kabisa mkuu wanalawama sana
 
Jitoe kwenye kundi la wapambanaji,hakuna mpambanaji bogus.
hatuwezi kuongea kitu kilekile kila siku.
 
KIpige makwenzi mamake achukie akipeleke kwa babake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…