Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Nape alishawahi kusema kuna viongozi mizigo ndani ya ccm na wanatakiwa wavue gamba au wavuliwe magamba na hatukuona anachukuliwa hatua yoyote.Tufanye ametumwa na magaidi CCM haya bubujikwa na machozi ya furaha.
Gentleman,
andikia uzi mahususi kuhusu chama chochote cha siasa, na uwe specific with facts, nitachangia bila kuchelewa, lakini pia bila kiwewe.
always niko neutral kwenye mambo haya 🐒
Kulipa kodi kwako kuna uhusiano gani na wewe kuipangia chadema cha kufanya ambayo ulisema imekufa na kupoteza mwelekeo ?.Mimi ni mlipa kodi.
Inawahusuje hiyo chadema?. We ni mwanachama, mfuasi, shabiki mkereketwa au mfuatiliaji wa chadema?.Chadema inatuhusu watanzania wote wewe,ila ukweli lazina usemwe Lissu anakidhalilisha chama
Kwani mbunge akiwa wa chadema,anawahudumia wanachadema tu!?Inawahusuje hiyo chadema?. We ni mwanachama, mfuasi, shabiki mkereketwa au mfuatiliaji wa chadema?.
RetiredNdugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
CCM ni chama safi kinachoongozwa na kusimamia vyema sana maadili. Hakilei wala kufumbia macho vitendo vya rushwa.Mi nashauri CCM warudi kwenye misingi yao ya kutopokea Wala kutoka rushwa na wawachukulie hatua wote wanahusika.
Pia kwa kumuenzi mwasiai wa chama Me. Nyerere mke wa Kaisari hatakiwi kutuhumiwa
Hakuna sehemu tulikozungumzia mbungeKwani mbunge akiwa wa chadema,anawahudumia wanachadema tu!?
Ni lazima Lissu awajibike na kuwajibishwa.
Japo tu tutafikiria kumchukulia hatua kama ipo endapo tuu,wapenyeza rupia kutoka kwa jirani watawajibika kwanza pamoja na vipaza wakujitolea kwa manufaa ya jirani zetu na sii kwa manufaa yachama chetu na manufaa ya Watanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Nape amewajibika vipi kwa ile kauli yake ya:-Ni lazima Lissu awajibike na kuwajibishwa.
HII NDIO ILITakiwa mleta mada aweke kichwa cha habariCCM MCHUKULIENI HATUA SAMIA KWA KUUZA TANGANYIKA KWA WAARABU
Huyu ni mwanachama wa CCM chama ambacho mwenyekiti wake amefanya maridhiano na mwenyekiti wa CHADEMA na maridhiano yameleta matokeo chanya.Wewe kama nani?
Taahira mkubwa wewe.Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.
Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.
Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.
Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.
Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.
Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.
Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.
Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.
Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.
Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Wewe lini umekuwa na uchungu na CHADEMANdugu zangu Watanzania,