Pre GE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman,
andikia uzi mahususi kuhusu chama chochote cha siasa, na uwe specific with facts, nitachangia bila kuchelewa, lakini pia bila kiwewe.

always niko neutral kwenye mambo haya 🐒

Hapa uko neutral au uko upande wa mbowe?

But my brother Mbowe amekaa Sana pale kwenye kile kiti, lazima apishe mawazo mpya

Hivi Kwa kuongea ukweli ww unaona upinzani wa kweli kama Mbowe ni mwenyekiti?

Upinzani wa mbowe ni wakuelewana na chama tawala hata kwenye mambo ya haki ya chadema
 
Mi nashauri CCM warudi kwenye misingi yao ya kutopokea Wala kutoka rushwa na wawachukulie hatua wote wanahusika.
Pia kwa kumuenzi mwasiai wa chama Me. Nyerere mke wa Kaisari hatakiwi kutuhumiwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.

Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.

Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.

Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.

Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.

Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.

Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.

Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.

Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.

Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Retired
 
CCM ni chama safi kinachoongozwa na kusimamia vyema sana maadili. Hakilei wala kufumbia macho vitendo vya rushwa.
 
Screenshot_20241218_212158.jpg
Leo unauchungu na chadema?
 
Japo tu tutafikiria kumchukulia hatua kama ipo endapo tuu,wapenyeza rupia kutoka kwa jirani watawajibika kwanza pamoja na vipaza wakujitolea kwa manufaa ya jirani zetu na sii kwa manufaa yachama chetu na manufaa ya Watanzania.
 
Ni lazima Lissu awajibike na kuwajibishwa.
Nape amewajibika vipi kwa ile kauli yake ya:-

"Kura haziamui mshindi bali anayehesabu kura, kuna halali nusu halali naa haramu."

Nape anadhihirisha kile kinachoitwa box la kura ni igizo tu na kupoteza muda na kodi za wananchi bali watoa maamuzi ni vidampa wa wakurugenzi ambao ni wateule wa rais na ndio wamepewa jukumu la kusimamia uchaguzi hivyo wana kazi ya kuingiza kura feki, kupunguza kura za upinzani na kama kada wa ccm kashindwa basi atatangazwa kwa mabavu.

Risiti hii hapa kunguni wa mama Abduli.

View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=ulp7xvHlbiCSCZww
 
Lissu siyo mwanasiasa,,,, Siasa inataka watu wachafu maana ni UTAPELI, UNAFKI, UONGO na WIZI...
Yaani katekenywa kidogo keshaanza kumlipua Abduli na hela za mama yetu...

Yeye abaki kuwa kiongozi wa kawaida tu anayepewa maelekezo...
Ukiwa hata Nusu ya Mkweli hutofanya siasa maana mfumo wenyewe wa SIASA utakutapika maana wenye mambo yao kama mtoa post mtamwona anawaaharibia kamfumo kenu ka-utapeli na wizi wa kuongelea WIZI wenu ndani....
CHADEMA na CCM ni marafiki wazuri wanaotumia huruma na hasira za wananchi kuendelea kula mema ya nchi..
 
Wewe kama nani?
Huyu ni mwanachama wa CCM chama ambacho mwenyekiti wake amefanya maridhiano na mwenyekiti wa CHADEMA na maridhiano yameleta matokeo chanya.
1. CHADEMA sasa kinapata ruzuku na ruzuku inatumika kwa manufaa ya chama; viongozi wote wa chama kuanzia ngazi ya kata hadi taifa wanalipwa mishahara
2. Hakuna viongozi wa CHADEMA wanaokamatwa na kufungwa wala kuuwawa
3. Chama kimetulia, hakifanyi tena maamdamaono ya nguvu
4. CCM sasa kinafadhili chaguzi za ndani za CHADEMA; maridhiano.
Mwenyekiti Mbowe anastahili mitano tena.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda.

Tena kama kwenye chama changu cha CCM nikipendacho mpaka siku ya mwisho Ya Maisha yangu ndio kabisa hawezi kufanya ujinga anaoufanya huko CHADEMA ,maana tutamtumia bila huruma ndani ya saa 24 au kabla hata ya jogoo kuwika. maana sisi CCM huwa hatulei ujinga wala kuvumilia ujinga wala kumbembeleza mtu anayekiuka maadili ya chama chetu kilichojengwa kwa jasho na Damu na wazee wetu.

Ni aibu na Fedheha kubwa sana kwa mambo yanayofanywa na Lissu kupitia Mdomo wake .anakidhalilisha chama na viongozi wenzake bila mipaka.hana mipaka katika mdomo wake.hana breki ya Mdomo wake kuelewa kipi anapaswa kuongea kwa hadhara na kipi kinapaswa kubakia kama siri za chama na viongozi.

Sasa Amebakia anajiropokea tu siri na mambo ya ndani ya chama bila breki.amebakia anatoa kila kitu hadharani utafikiri mganga wa kienyeji anayeagua.amebakia anashanbulia kila anayeona hamuungi mkono. Sera zake zimebakia kushambulia na kuwapaka Matope watu kwa uzushi na uongo bila ushahidi.

Anafanya haya yote kukiumiza chama,kukigawa chama,kuleta mpasuko kwa chama,kukivuruga chama,kujenga taswira mbaya kwa umma,kuharibu sifa za watu na kuwavunjia heshima viongozi wenzake kwa sababu kuu moja tu.

Lissu hana uchungu na chama kwa sababu hajui ni kwa gharama kiasi gani chama kimegharamiwa.hajui kuwa chama kimejengwa kwa jasho , Damu na Machozi ya watu. Lissu hana uchungu wowote ule na CHADEMA wala hisia za upendo na uzalendo kwa chama.

Hata CHADEMA isiwepo kwake ni sawa tu na wala hana habari na wala hawezi kuguswa wala kuumia na ndio maana anaendelea kuongea neno lolote lile linalomjia mdomoni mwake bila hata kufikiria athari yake na madhara yake kwa chama.

Sasa ni wakati wa CHADEMA kumchukulia hatua kali za kinidhamu na kumpa onyo kali la kuacha mara moja kuharibu taswira ya chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake.chama kisipofanya hivyo kitakuwa kinajenga taswira mbaya sana na rejea mbaya sana kwa wanachama na viongozi wa chini ambao nao hawatakuwa na uoga wala hofu ya kuheshimu maadili ya chama.

Nao wataanza kujiropokea mambo ya ndani ya chama mitandaoni kwa kufikiria kuwa ndio utamaduni wenyewe au ndio ukamanda wenyewe au ndio ushujaa wenyewe au ndio ujasiri na ujemedari wenyewe.watafanya hivyo kwa kuiga kwa viongozi wabovu na wasiotambua wajibu wao aina ya Lissu. Kwa hiyo kudhibiti hali hiyo kutoendelea ni muhimu kwa chama kumchukulia hatua kali na kumpa onyo kali sana na kutoa angalizo kwa wengine watakaojaribu kukidharirisha chama watachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwepo kuvuliwa uanachama.

Ni lazima CHADEMA iige kutoka kwetu CCM.sisi mambo yote tunazungumzia vikaoni na siyo kujiropokea utafikiri watu waliolewa pombe au watu walio vilabuni huko japo nao huwa kuna mambo huwa wanakanyana kuyazungumza kwa watu wengi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu
Taahira mkubwa wewe.
 
Wewe lini umekuwa na uchungu na CHADEMA
 
Back
Top Bottom