The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
AnaoUwezo hana we unafikiri Ayatollah hapendi kuifuta Israel?
AnaoUwezo hana we unafikiri Ayatollah hapendi kuifuta Israel?
Aisee, ila ni ndoto ya kila mwanadamu kufika taifa la kipumbavu.....marekani ni taifa la kipumbavu sana.
Nenda kwenye ubalozi wao ukawa fundishe hiyo mbinujust what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
Sababu ya dini (mila na desturi za kiarabu)Hiyo ni suicide mission kwa Iran, hivi kwanini watu huwa hawaichukulii US kwa uzito wake?
Umelinganisha malengo?🤣🤣🤣🤣🤣So tukikubaliana kuangusha majengo ni ushindi., then Israel kashinda Vita ya Gaza, 😜😜
Myahudi ndio kapandikizwa.Nani kapandikizwa sasa. Myahud au mwarabu
Bro umeitembea middle east kias gan utusaidieMyahudi ndio kapandikizwa.
Kiakiolojia middle east kwa asilimia kubwa ni ya muarabu KULIKO ASILI YEYOTE ILE.
Zayun ni ideology kama kusema uislam babuZayuni
Sijatembelea kokote.Bro umeitembea middle east kias gan utusaidie
Iran hana ubavu wa kupambana na Marekani na Israel kwa wakati mmoja. Hatua ya kwanza ni kuzirudishia nguvu proxies zake,Hesbollah and the likes. Mzayuni ameshajua udhaifu wa Iran uko wapi na Mossad wamejipandikiza vya kutosha mle. For now awekeze kwenye air defense systems kwa sababu Israel hatumii makombora ya masafa marefu,anatumia ndegejust what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east
Mulize Japan aliposhambulia Kambi ya wanamaji ya pearl hobour alichokutana nacho ni historia hadi Leo Iran isije ikajaribu ujinga kama huo
Iran haiwezi kupambana na 🇺🇸 au hata 🇮🇱 na ikabaki kusimama. Itaanguka ukweli mchungu.just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
Anapigaje akati hajapigwa na marekani ,wewe unawezaje kupigana na mtu ambaye sio mgoni wakojust what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
Leta na nyingine. Inafurahisha kuangaliaNguvu zipi hana?
Za kuigeuza tel aviv kua gaza?
kote anzia Yemen uzunguke eneo love mpaka Iran ya waajemi ndio utajua jews na waarabu tofauti yao nininiSijatembelea kokote.