Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Unaizungumzia hiihii USA iliyochapwa na watalaban au wasomali au wa Vietnam?Hiyo ni suicide mission kwa Iran, hivi kwanini watu huwa hawaichukulii US kwa uzito wake?
Unaizungumzia hiihii USA iliyochapwa na watalaban au wasomali au wa Vietnam?Hiyo ni suicide mission kwa Iran, hivi kwanini watu huwa hawaichukulii US kwa uzito wake?
Usilete janja janja hapa.Basi tembea
kote anzia Yemen uzunguke eneo love mpaka Iran ya waajemi ndio utajua jews na waarabu tofauti yao ninini
Ndio nakuambia umefika hayo maeneo au unasoma hizo madrasa za vilazaUsilete janja janja hapa.
Kihistoria hata kiakiolojia middle east asili kuu ni waarabu asili zingine zipo kwa uchache.
Hata Iran asili yake kuu ni ukingo wa Eastern Europe na Central Asia.
Unajua watu wanaoitwa mabeduiUsilete janja janja hapa.
Kihistoria hata kiakiolojia middle east asili kuu ni waarabu asili zingine zipo kwa uchache.
Hata Iran asili yake kuu ni ukingo wa Eastern Europe na Central Asia.
Kwahiyo kufika eneo ndio kujua historia pekee??Ndio nakuambia umefika hayo maeneo au unasoma hizo madrasa za vilaza
Chimbuko la muarabu ni wapi!??Unajua watu wanaoitwa mabedui
Yemen na saudiaChimbuko la muarabu ni wapi!??
Tuanzie hapa.
Fanya research ya kwenda kule mwenyeweKwahiyo kufika eneo ndio kujua historia pekee??
Mbona una ukilaza aisee?
Kwanini nisiwajue mabedui!?
Unataka ku imply nini!?
Labda nikuulize swali.
Chimbuko la muarabu ni wapi????
Saudi Arabia iko wapi na Yemeni iko wapi!?Yemen na saudia
IRAN hatakiwi kua na huruma na hawa viumbe kwa maslahi ya taifa lake ,
Makosa alio yafanya ya kujichelewesha kua nyuklia yanamgharimu sana ,
Na hata mashambulizi anayo yafanya yawe na nguvu muda wote pasi na kuangalia nani atasema nini kama alivyo fanya karibu na ceasfire, hii itamsaidia sana.
MazayuniZayun ni ideology kama kusema uislam babu
Sisomagi gazeti la udaku🧐Maelezo yako ni kama mabondia wanapanda kwenye ulingo, mtu anarusha vingumi, mshindani wake anavipangua, halafu anabondwa ameanguka chini, wewe unaanza kusema kuwa alipokuwa anarusha vingumi vilivyopanguliwa, eti angekuwa anarusha ngumi kubwa zenye uzito, bila kujua kuwa ngumi alizokuwa akizirusha, ndipo uwezo wake ulipoishia.
Iran ilivyokuwa inajibu mashambulizi ya Israel, ndipo uwezo wake ulipoishia. Mnataka afanye zaidi, huo uwezo akaukope wapi?
Hii ni sawa na mtu aseme kuwa Ukraine ilitakiwa iipige kwa nguvu zote Russia, bila ya kuionea huruma!!
Cjui kama umenielewaMazayuni
Kwani Iran hajawahi kuishambulia kama ya US hapo mashariki ya kati?Hiyo ni suicide mission kwa Iran, hivi kwanini watu huwa hawaichukulii US kwa uzito wake?
Huo Sio ushauri ni upumbavu wako tu wa akili. Kwani Iran ndivyo huwa anavyofanya so bora ukae kimya tu na siku upumbavu ukiendelea hivi mtaisahau hiyo nchi.. The Watchers huwa hawana maujinga Panya.just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda.
Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
🤣🤣🤣🤣 Mpumbavu mkubwa upoHuo Sio ushauri ni upumbavu wako tu wa akili. Kwani Iran ndivyo huwa anavyofanya so bora ukae kimya tu na siku upumbavu ukiendelea hivi mtaisahau hiyo nchi.. The Watchers huwa hawana maujinga Panya.
Trump keshasema Iran ni wapumbavu na haongei nao tena kama hawawezi kuishi kama Binadamu wengine.. any mistake kazi ni moja tu kuwamaliza waviremba wote fro Familia ya Allah wabaki raia