Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

Hii habari nimeiona instagram na uyo alie sema ivyo ni mwanamke wewe ni mwanaume sonumechukuabna kuweka waaaa

Umevaa uhusika vzr
 
mbon huu uzi ulishawahi andikwa humu
 
Tafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu.
Dunia ni mapito Akhy, usifundishe Dhulma
 
Sidhani sababu hata wao hawajui ilipo mkuu sababu huwa wanakutana na mzee bar na Mimi nilishakutaba nao mara 3 ambapo siku Moja wakanipa taarifa ya kifo chake na Wala hawakuniuliza habari za nyumba nadhani hajawaambia
basi kaikopee fasta bank.... ujenge yako ya halal sasa
 
Hiyo ni dhuluma usijaribu kufanya hiyo dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…