King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ndiyo chai hiyo ,miezi minne haiwezi kufanyanyika mirathi na kugawana mali.Elewa maana ya nimesikia fununu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo chai hiyo ,miezi minne haiwezi kufanyanyika mirathi na kugawana mali.Elewa maana ya nimesikia fununu
SawaNdiyo chai hiyo ,miezi minne haiwezi kufanyanyika mirathi na kugawana mali.
Hapana mkuu alidondoka ghafla nyumbani kwake anapoishiUtakuwa umemuua wewe si bure
mbon huu uzi ulishawahi andikwa humuWakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Dunia ni mapito Akhy, usifundishe DhulmaTafuta jamaa zako Ardhi jichukulue nyumba wakija kushtuka tumia signature za nyuma utengeneze mkataba wa mauziano na marehemu.
Gahawa ya bariiidi sana
basi kaikopee fasta bank.... ujenge yako ya halal sasaSidhani sababu hata wao hawajui ilipo mkuu sababu huwa wanakutana na mzee bar na Mimi nilishakutaba nao mara 3 ambapo siku Moja wakanipa taarifa ya kifo chake na Wala hawakuniuliza habari za nyumba nadhani hajawaambia
Naona kama kidogo kichwani hesabu zinakupiga chenga kwahiyo kutoka mwezi wa 4 mpaka wa 12 ni miezi minneNdiyo chai hiyo ,miezi minne haiwezi kufanyanyika mirathi na kugawana mali.
Sawa mkuubasi kaikopee fasta bank.... ujenge yako ya halal sasa
Sawa mkuuMkuu ungekua mimi ndo wewe...
Aaaah yani hapo mapemaaaaaa natafuta madalali au kaa hivo hvo na wewe endelea kupangisha watu
Sawa mkuuHuwezi Okota Nyumba Kubwa Ishi Bure Ukijipanga
Masuala Ya Mali Kwenye Family Huwa Hawaambiwi WoteSawa mkuu
Hiyo ni dhuluma usijaribu kufanya hiyo dhambiWakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
ulienda msibani mkuu?Sasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Sawa mkuuMasuala Ya Mali Kwenye Family Huwa Hawaambiwi Wote
Ila Hata Asipowaambia Utakuta Kaacha Document Inayoelekeza Nyumba Ilipo
Sawa mkuu sema ndugu zake siwajui sababu mjini watu tunakutana barHiyo ni dhuluma usijaribu kufanya hiyo dhambi
Hapana nilikua nimesafiri kurudi nilivyoenda bar ndio nikasikia jamaa alifarikiulienda msibani mkuu?