Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

Hii habari nimeiona instagram na uyo alie sema ivyo ni mwanamke wewe ni mwanaume sonumechukuabna kuweka waaaa

Umevaa uhusika vzr
 
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
mbon huu uzi ulishawahi andikwa humu
 
Sidhani sababu hata wao hawajui ilipo mkuu sababu huwa wanakutana na mzee bar na Mimi nilishakutaba nao mara 3 ambapo siku Moja wakanipa taarifa ya kifo chake na Wala hawakuniuliza habari za nyumba nadhani hajawaambia
basi kaikopee fasta bank.... ujenge yako ya halal sasa
 
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yanye vyumba vinne mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Hiyo ni dhuluma usijaribu kufanya hiyo dhambi
 
Back
Top Bottom